@arkamomari Kwenye usajili yanga uwa tunafeli sana DEPU hakupaswa kuuzwa kama walijua wananunua shalulile yule midevu katokea uarabuni hakupaswa kusajiliwa ili DEPU abaki au huyu beki wa kati wangeachana nae
Your purpose must come before your relationship.”
“Don’t use your anger to manipulate people; use it to expand you.”
“A superior man stands in the fire. He doesn’t cower from it.”
Mh @Dr_DGwajima shikamoooo sorry mama yangu mpendwa mh wangu nimeiona hiii video katika account ya juma lokote huyo kijana aliee mshika mtoto huyu akiomba msaada kuhusu matibabu ya huyo bint akiwa mbeya mama kama itakupendeza nipo chini ya miguu yako naomba serikali imsaidiee😭
#TajiriLaKihaya
Ukiona waislamu wanaSupport IRAN KISA DINI yao basi wewe ndio MDINI haswa!
Asilimia 85% ya waislamu duniani kote ni SUNNI.
Basi ingekua dini waislamu tungeliSupport SAUDI ARABIA,UAE maana wapo na Israel/USA na hao wote ni SUNNI.
Sisi tunapinga UDHALIMU wa USA ambao upo wazi… na ndio maana tupo na yeyote yule atakaempinga WAZIWAZI…
Venezuela 🇻🇪 asilimia kubwa ni wakatoliki- ila tulikua nao…
Russia hata sifaham ni dini gani wapo huko😅 Ila sio waislamu Ila tunawasupport… china vile vile nk.
Hata Leo Pope akiwapinga- tutakua nae bega Kwa bega 😅
IRAN ni WASHIA … ambao kiSunni tunawaona Kama ‘makafiri’ kulingana na mitazamo na mafundisho yao kwenye Dini Ila TUNAWAUNGA MKONO bila kujali tofauti zetu- maana wapo on the right side of History… WANAPIGANIA HAKI💯
USA na ISRAEL ni magaidi wakubwa duniani!
Hii Ni zaidi ya DINI… wewe ukiifikiria Kwa angle hio basi wewe ndio MDINI haswa!