#Tanzania
Arusha streets filled with stranded commuters! “Daladala” (known as matatus) commuter buses are striking tiday!
Leo hakuna Daladala mtaani Arusha - wananchi wamekwama!
Ila serikali haramu inafuja pesa kuleta akina Drogba na Rio na mabilioni kulipa lobbyists waisafishe!
Tusipoamka tumekwisha!
#TutaelewanaTu
Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria wa Tanganyika Leo Tumezungumza na Vyombo vya habari kuhusu Utawala wa sheria, Ripoti ya Mh. Jaji Mstaafu Othman CHANDE na uendeshwaji wa Shauri la Ndugu yetu na Rais Mstaafu wa TLS ndugu Tundu Antipas Mugway Lissu.
BAK MWABUKUSI
Marekani imetutumia salamu za Muungano wananchi wa Tanzania. samia suluhu hassan na genge lake wamepotezewa kwa sababu wapo madarakani kwa damu na uongozi wao hautambuliki. Togo & Sierra Leone Marais wao wametambuliwa.
Kifupi: nchi zote wametajwa Marais na wananchi, isipokuwa Tanzania tumetajwa wananchi tu. Salama hizi zote zimetoka jana na juzi.
#TutaelewanaTu #WananchiWenyeNchi
#TanzaniaMassacre #SamiaMustGo #FreeTunduLissu
Baada ya kutatua migogoro ya ndoa, hatua inayofuata kwa Chama Cha Mapinduzi ni kusuluhisha ugomvi wa watoto kugombea remote ya TV nyumbani. Kazi na UTU.
Kesi ya Uongo ya Mwenyekiti wetu inaendelea Februari 09. Watesi wetu wanamshikilia Mwenyekiti wetu tangu Juni 10, 2025, sasa ni miezi minane Mwenyekiti yupo gerezani. Sote tupige kelele na kuchukua hatua Mwenyekiti aachiwe huru kwani sio Mhaini.
#LissuSioMhaini
BREAKING: Mmoja wa mawaziri aliyewahi kuwa waziri wa nishati na Mambo ya nje, amekamatwa baada ya kujaribu kutoa fedha nyingi bank. Waziri huyo alikuwa akihisiwa kutaka kutoroka nchini. Tutawapa taarifa zaidi kadri tutakapozipokea. #TanzaniaLeaks
Jaribio la kuifuta Chadema ni jaribio la kuzika matumaini ya Watanzania…
Ni jaribio la hatari na halitakubalika… washauri wa hivi ni washauri wanaotaka kuteketeza Nchi yetu kwa tamaa zao…
Watanzania hawatakubali mfute matumaini pekee ya maisha yao.
Acha UPUMBAVU LAZARO, watu wengi sana wamekufa. Acha mkakati wa kusafisha damu. Taifa linahitaji Toba, Kweli na Haki. Umwagaji damu hauwezi kusafishwa kwa Lobbying na pesa. You have good kids, don’t attach them with curse. Huna hadhi hata ya kutembea barabarani popote.
Rudi nyuma haraka sana. Umeteuliwa Balozi ili uwe MJINGA? Just be MALE Bro, huwa nakuambia neno hili kila mara. Money is not everything , just go and read about King Suleiman.
Tofauti kati ya haki na dhuluma iliyojaa uonevu ndiyo msingi wa mapambano ya kweli ya kujenga Taifa bora. Wizi wa kura na kuumiza wananchi ili CCM ipate mamlaka ni jinai, na historia inaonyesha kuwa jinai hulipwa, leo au kesho. Mmeumiza sana nchi hii. Sasa nuru inataka kupambazuka, lakini mnajaribu kuizuia kwa propaganda, ikiwemo kuingiza udini kwenye siasa. Mmeua kabisa dhana ya utawala bora, na mnaacha taifa bila mwelekeo wa matumaini. Kila sekta mmeiharibu. Taifa haliwezi kuongozwa kwa propaganda. Mwisho wa udanganyifu umefika, na ubaya wowote una mwisho.
Polisi wamekuwa wanamlazimisha Thadei Kweka atoe password yake ya simu, lakini amegoma. Sasa leo mchana Polisi wameomba Mahakama itoe AMRI ili atoe password.
Amri ya mahakama hii hapa: Mleta maombi ni Thadei Kweka na Mjibu maombi ni Thadei Kweka.
Kwa kifupi— Thadei amejishtaki yeye mwenyewe, yeye ndo mlalamikaji na yeye ndo mlalamikiwa.
Polisi Tanzania acheni kuchukua viongozi wetu kinyume cha utaratibu..
Chadema ni taasisi ya kisiasa ipo na imesajiliwa kisheria…
Nchi nzima viongozi wetu wanawindwa, kuteswa na kuumizwa bila sababu..
Hamna uwezo wa kupambana na Chadema ambayo iko kwenye mioyo ya watu..
Mnajenga chuki na uhasama mkubwa na matokeo yake sio mazuri.
Hakumpotea bure, mateso yenu na damu za wengine wengi kama nyie zitanena kwa sauti kubwa sana kuanzia sasa. Malipo ya damu ni ahadi ya Mungu. Zamu ya malipo ya wasio haki kupokea mishahara yao ni sasa. Nchi itamtukuza Mungu maana harufu ya uovu iko kwa Mwenyezi Mungu. Ushuhuda mkubwa kwa familia zenu unaanza Mwaka huu wa 2026. Tutamsifu Mungu maana tulikosa nguvu tukamtazama yeye na kumtumaini yeye. Halikuwa jambo baya wala uoga bali tumaini lenye kutambua kuwa yeye yupo.