Ni mwaka wa 5 sasa wa mfululizo wa nyimbo za MATUSI.
Unamkuta mwanao wa nursery anaimba ufala nawe unafurahia eti ana kipaji.
Kwenu wadada masingle mother ndio mnaongoza kuharibu watoto wa kiume mnawajenga kupenda UCHOKO mkidhani ndio mnawalea vizuri.
Mkijiandikisha msisahu kuandika jina langu me nipo busy kidogo natafuta pesa ya kodi ya chumba mwenye nyumba kawa mkali pilipili ya mwedo kasi ikasome๐๐๐