@McinikaWaLamar Halafu nyie ndio mnaosababisha haya yote kwasababu nikipost pic bila kufanya hayo yote hakuna like wala comment ila ngoja ifanyiwe manuva yote bas we mtakavyo inadi sasa jaman tuacheni tu tuendelee na kazi yetu๐๐
@leo_thobias@GeorgeMkisi Yani leo hujakutana na wadada wanaojua kudanga vocha yani unatuma muda huo huo anatakiwa kuongea na wazazi wake na ukituma ndogo ndio kabisa unatukanwa matusi yote na kupigiwa hupigiwi ng'o