Serikali ya TANZANIA imetangaza kwamba Agather na Boniface ambao walikuwa wanashikiliwa na Jeshi la polisi kuwa Tayari wamerudishwa nchini kwao.
Sasa ni zaidi ya masaa 9 sasa hakuna taarifa rasmi kutoka kwao. Hawajafika nchini kwao KENYA na UGANDA.
Kwa mantiki hii wamepotea mikononi mwa Serikali ya Tanzania.
#FreeAgatherAtuhaire #FreeBonifaceMwangi
Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya walipata ugeni Genz wakamfikishia ujumbe @SuluhuSamia juu ya kuzuiliwa wanaharakati wa Sheria kutoka Kenya na Ugandaa waliokuja kuhudhuria kesi ya @TunduALissu
We express strong condemnation for the detention and deportation from Tanzania, of several respected Kenyan leaders including former Chief Justice @WMutunga and @MarthaKarua, SC. Others affected include renowned Kenyan activist Boniface @bonifacemwangi and @AAgather from Uganda. They had travelled to Tanzania in a spirit of solidarity to observe court proceedings involving Tanzania's opposition leader Tundu Lissu, who stands accused of treason.
Such demeaning and humiliating actions against high profile citizens of a partner State raise troubling questions about the relevance of the East African Community, as they contradict its founding values of democracy, human rights, and mutual co-operation. As people who share deep historical ties, the unity of East Africa must be built not just on infrastructure and trade but also on a shared commitment to justice and freedom for all. All citizens, leaders, and institutions of goodwill across the region must work together, with one voice, against the growing repression in the region.
EAC ilikuwa na History mbaya kwa Uganda japo wao wamejirudia kupata Museven
Tanzania tulipata Magufuli na sasa tumepata huyu Bi Chura anayependa sana kushambulia watu na kumwaga damu
Sisi wapenda haki wa Tanzania tunasimama na wanaharakati wa Kenya na Uganda walioshililiwa na police wa Tanzania kwa maelekezo ya samia suluhu tunataka wapambanaji Hawa waweze kuachiwa Mara mojaโ
#FreeAgatherAtuhaire ๐บ๐ฌ
#FreeBonifaceMwangi ๐ฐ๐ช
#FreeTunduLissu ๐น๐ฟ