@Mkunga_Og ivi inawezekana Dem amalize P af akafanya mapenz siku 2 baadae na dam bado ikawepo? maana juzi nlikutana na ishu kama hiyo nmemuulza vizr akanambia alishamaliza tokea juz na hata wkat namlainisha sikuona kitu ila kuingiza libolo nikatoka na dam, inakuaje? vp madhara yake?
KANUNI 10 ZA WAFALME;
1. Usilazimishe mapenzi
2. Usidate manzi wa matunzo makubwa
3. Usivumilie dharau za mwanamke
4. Usibembeleza mwanamke abaki anapotaka muachane
5. Kamwe usidate mwanamke masikini, ni kirusi atanyonya hela zako zote
6. Usimrudie aliyekuacha kwa sababu ya mwanaume mwingine
7. Usitegemee manzi akutoe kwenye umasikini
8. Usipigane na mwanaume mwenzio kwa sababu ya mwanamke
9. Usikubali mwanamke alipe mahitaji yako
10. Usiendelee kuishi na mwanamke asiyekuwa na furaha na hakuletei amani maishani.