@Mangiwakwanza Msiba ukiwa kwa mwenzako wewe unaona haukuhusu na kuweka pamba masikioni na kuendelea na shughuli zako,ila msiba ukiwa kwako unataka kila mtu ahuzurie wakati ww
huwa huhuzurii kwenye misiba ya wenzako huuo ushirikiana unaoutaka unatoka wapi .
@HildaNewton21 Hakuna jibu lingine tunalosubiria zaidi tunataka kusikia wanafutwa uanachama ,hawa walikuwepo kwa masilahi yao binafsi na sio kufanya chama kisonge mbele hatuwataki wasaliti wa chama.
@eastafricatv@earadiofm@ChademaTz Kuna msemo unasema ukiwa unelekea uzeeni akili akili inakuwa haina uwezo was kufikiri vizuri,inawezekaneje mtu ambaye anakesi ya uhujumu uchumi na yuko mahabusu na kesi rufaa yake ilikuwa bado haijasikilizwa na kutolea maamuzi chama kiweke jina lake kwenye orodha ya viti maalum
@Kidaghula3@hpolepole@MagufuliJP@ccm_tanzania Watoto wengi wa viongozi hawasomi shule za kata wala zilozoko chini ya serikali ,na pia viongozi wengi hususani wabunge wetu ukijaribu kuangalia katka majimbo yao ni hovyo sana hakuna huduma za kijamii wanaangalia matumbu yao tu
@Kijomichael1@godbless_lema Ni kweli watoto wataenda kumpokea raisi wameambia wataenda shule na safari itanzia shuleni wakiongozwa na walimu wao kwenda kwenye mapokezi ya raisi, anachosema lema ni kweli