@_bboytz niaje kamkubwa...sorry bana Kuna siku ulikua pande za ufukwe wa ununio Kuna sehem tukawa twacheza pool table Kuna nyimbo ukawa umeweka ya dizasta vina tukawa tunaisikiza pale sasa nilikua naomba uniambie inaitwa je ili niweze kuipakua π pamoja sana bro