"Kwa mwaka 2023/24 Wizara ya Mifugo na Uvuvi imepanga kuimarisha taasisi za uvuvi kwa kununua boti zenye vioo chini (glass bottom boat) ili kuongeza utalii kwenye hifadhi za Bahari na maeneo tengefu (eco-tourism),"- Abdallah Ulega
Mariam, from #Yemen, says, "The meals we receive make it easier for me to concentrate at school."
WFP is committed to creating a brighter and more equitable future for all. Securing consistent and nutritious meals for students is just one way we are working towards this goal.
Sustainable gastronomy can help us to take care of our one & only planet.
4 ways to practice sustainable gastronomy:
1️ Buy from small-scale, local producers
2️ Try local foods
3️ Cook a traditional recipe with local ingredients
4️ Say no to #FoodWaste#ClimateAction
NUKUU YA LEO: “Ukiwauzia bidhaa marafiki au ndugu wa karibu, haijalishi umewauzia kwa shilingi ngapi, watalalamika na kudhani unatajirika kupitia pesa zao.” - Jack Ma
Dr Stergomena Tax
Waziri wa Kwanza mwanamke wa Ulinzi (na Jeshi Kujenga Taifa) wa Tanzania!
This right here is the very 1st female Minister for Defense in Tanzania!
Ogopa zaidi mtu anayekukalia kimya ukimkasirisha. Ukimya wake si lazima iwe ni ishara ya kusalimu amri, bali waweza pia kuwa ni tahadhari na onyo kwako au aweza kuwa anakutafutia fursa na muda (timing) wa kukushushia hasira yake. Kuwa mwepesi wa kusoma ukimya wa uliyemkasirisha!