Binafsi! Sitoichukua 40%. Hatuwezi kuwa sawa, kwa kumshusha na kumnyonya aliye juu. Nilisema! Tatizo sisi waafrika hii inshu ya haki sawa, tunajengewa kumuona mwanaume kama adui, na ndo maana wengi wanaharakati wa hii kitu hawana hata ndoa kisa wamepandikizwa chuki juu ya men.
kabla ya saa sita (6) mchana tarehe 25/03/2020. Watakaokuwa shortlisted tu ndiyo watakaoitwa kwa usahili.
IMETOLEWA NA UTAWALA
TAN CHOICE LTD
#NipeDili@NipeDili
Mwombaji anatakiwa awe amehitimu stashahada (Diploma) fani husika na ameorodheshwa na Baraza la Veterinari Tanzania (VCT). Maombi yatumwe kwa HR barua pepe
[email protected] au [email protected]
au kwa WhatsApp 0788574072
#NipeDili@NipeDili
Tan Choice Ltd.
Kiwanda cha nyama kilichoko Soga Kibaha Mkoa wa Pwani kinawatangazia nafasi za ajira ya Veterinary paraprofesionals - Wakaguzi wa nyama (Meat inspectors) na wataalamu wa afya ya wanyama (Animal Health).
Watoto wengi wanasoma shule zilizo mbali na maeneo yao wanayoishi kutokana na mazingira. Hivyo, kama huduma zitaboreshwa kuna uwezekano mkubwa wa kumsaidia mtoto huyu kujiepusha na mazingira hatarishi yanayochangia wao kupata ujauzito. #ArudiShule#ElimuBilaUbaguzi@lifeofmshaba
Nokia Brand NEW
Full Boxed Brand nEW.
Nokia C1.
250,000/=only.
Comes with 1year Warrante.
Full Boxed & Sealed.
Call 📞0782417435.
Whatsapp📲0789401140.
Duka lipo 📍 makumbusho Bus stop.
Kwa matengenezo ya iphone (iPhone Fix👨🏾🔧) nicheki pia.
Mimi Binafsi Siku Zote Twitter Huwa Namheshimu Sana Mtu Anaenitag Hasa Kwenye Mambo Yale Ya Msingi
Hii Huwa Inanifanya Nijue Kua Kumbe Anakumbuka Na Kuthamini Uwepo Wangu Hapa.
#Fursa: Project Officer - Nafasi ya kujitolea, ANAHITAJIKA. Eneo la kazi - SINGIDA.
Je, Wewe una bidii na weledi katika kazi? Wewe ni moja kati ya watu wanaotamani kujitolea kwa ajili ya jamii? Kama ndivyo, Basi huu ni wakati wako.
Tunakukaribisha ujaze nafasi hii|#NipeDili|
ndio maana kisaikolojia mtoto akifanyiwa mambo ambayo mama alikuwa anapenda kufanya wakati akiwa mjazito kama alikuwa analia anaweza akaacha kwanza #BrainTalk#BuildingBrains2020
Watu wengine huwa tunashida sana, yaani badala umshukuru Mungu, wewe unamdharau mwenzio kisa hana kazi, hajaolewa au kisa hana mtoto... Utadhani hivyo vyote vinakufanya uwe perfect.
iPhone 7+
Storage GB 32
price 870,000/= Only
1 Year warrant
Brand New & Sealed🔥
☎️0782417435
📍Makumbusho Opp na safina hotel
🛵 Free Delivery in Dar
NB: matengenezo ya ipHone (iFix👨🏾🔧) pia yanafanyika! 'Karibu tukuhudumie'