Hiki Chama kinanifanya niamini kwenye theories ya Jua hapo baadae litakuja kuwa RED GIANTS STAR kwa kuzimeza sayari zote zilizo karibu yake kwenye solar system litakuwa tayari limesha zeeka na Kisha lita pasuka na hapo itakuwa ndio mwisho wa Jua kwenye Milky Way Galaxy Universe
1. PHILIP MANGULA - CCM Vice Chairman.
2. KINANA - CCM Vice Chairman.
3. NDUGAI - Speaker of Parliament.
4. H. POLEPOLE - CCM Secretary
5. K. MAJALIWA - Prime Minister.
6. PHILIP MPANGO - Vice President.
7. E. NCHIMBI - Vice President.
1.Makamu wa Rais 3
Mpango
Nchimbi
Atakayeteuliwa
2.Maspika wa bunge 3
Ndugai
Tulia
Zungu
3.Maboss wa Tiss 4
4.IGP 2
5.Cdf 2
Siyo tume ya kuchunguza waliotoa maagizo ya mauaji na walioua?? Ila ni tume ya kutambua waliochochea na kufadhili matukio hayo...Katika hao watu waliouawa ni nani alikutwa na mamilioni ya pesa walizolipwa? Maandamano ya kudai Uchaguzi Huru na wa Haki yanahitaji mtu kulipwa?
Taratibu, CCM wanataka kuiteka agenda ya KATIBA MPYA. Tutakwenda na mchakato wao wa KUBUMBA mwisho siku tutavurugana na KATIBA MPYA haitapatikana.
Tuwaondoe kabisa wanaSIASA kwenye mchakato huu ili pamoja na mengine kuiepuka CCM.
Twende na kundi dogo la WATAALAM wa KATIBA.
Tulisema wakati wa kampeini, tutasimamia ahadi zetu kwa Watanzania.
Tutajenga taasisi ya kubadilisha Nchi hii na kuwapa Watanzania Nchi isiyo na upendeleo, ufisadi, rushwa kuoneana na kuumizana.
Tutahakikisha rasimali za Nchi yetu zinatumika kwaajili yetu sote sio kikundi kidogo cha watu.
#NoReformsNoElection
Agenda ya kufunika wizi mkubwa kwenye sketa ya mafuta.. Watanzania msikubali.
Tunataka kujua kwanini Vitol ametuuzia mafuta kwa usd 260 sawa sh 689,000.
Wakati huo huo anawauzia Uganda mafuta hayo hayo kwa USD 83 sawa na sh 212,000
Msumbiji usd 90 sawa na 238,500.
Hawa watu wanaoitwa NAMARO na TPDC wamehusikaje kwenye huu ufisadi wa kufilisi Nchi.
Huu ni uhujumu uchumi mkubwa kuwahi kutokea katika Nchi hii.
Kuna zaidi ya 1.2 trilioni imeibiwa katika mafuta.
Katibu mkuu wa Nishati bwana Mataragio alisema tuna mafuta ya kutumia miezi mitatu.
Watanzania tusikubali huu wizi.
jwtz likatae kutumiwa kutisha watu. naelewa kunaweza kuwa na ugumu wa kuiambia serikali hapana, but wanapaswa, jwtz si law enforcement organ. halihusiki kusimamia sheria. halipaswi kuingilia purely civilian stuff. jwtz lijichunge, heshima iliyonayo inatokana na kujua mipaka yake!
Kwenye Psychology kuna kitu kinaitwa "Premature Victory"
Hii kitu inasababisha ubongo ku relax,kupoteza focus,over confidence, careless mistakes,na kupuuza dalili mbaya.
Hii uwa downfall kwenye michezo, biashara,mahusiano hata personal struggles
Hapa shetani uwa anasingiziwa sana
nadhani kosa kubwa tunalofanya ni ku appeal to those in power in a legalistic, moralistic language. “sheria inasema hivi.” “hivyo si vzuri.” bro, hao watu wanajua, siyo wajinga. issue is they don’t give a fuck. instead of moralizing, organize, and challenge power on the ground!
Tumezoea kuambiwa wanaume hawaongozwi na hisia. Tunaambiwa, eti ‘nature’ ndio inawafanya wawe watu wa kutumia akili kuliko hisia. Kuna hadi kitabu kimeandikwa na John Gray (Men are from bla blaa) kupalilia mitazamo hii isiyo na ushahidi wowote wa kisayansi. Hata hivyo, tafiti zinaonesha kuwa utotoni, wavulana na wasichana hawatofautiani sana linapokuja suala la kuonesha hisia. Wote, kwa mfano, hawaogopi kulia hadharani wanapodai kitu, wanapohisi kutokutendewa haki au wanapoumizwa.
Kadri wanavyokua, hatimaye, jamii huwafundisha wanaume kukana baadhi ya hisia zao na kujipambanua na hisia fulani. Haishangazi kwa mfano mwanaume mtu mzima kuonesha hasira, na hata ghadhabu. Jamii imemfundisha kuwa hasira ni hisia sahihi kuonesha lakini sio woga, hatia na hisia nyingine ngumu. Ukikutana na mwanaume anayeonesha waziwazi hisia za ufahari wa kufanya kitu kizuri, kutambia hisia za tamaa za ngono hadharani na hata kujisifia kwa kuumiza na kuonea watu inaonekana ni jambo la kawaida.
Wakati mwanaume anafundishwa kuzuia ‘hisia za kike’ kama woga na aibu, jamii imemruhusu mwanamke kuogopa, kuhuzunika, kufedheheka na hata kulia hadharani. Hisia za ‘kiume’ kama hasira na ghadhabu ambazo mwanaume anaruhusiwa kuzionesha, jamii imemwaminisha mwanamke kuwa ni kosa (udhaifu) kuzionesha hisia hizo. Katika baadhi ya jamii zetu, tunazo hadi sheria zisizo za wazi zinazomwaminisha mwanaume kuwa hata kuonesha uso wenye furaha moja kwa moja, kuonesha hisia za upendo waziwazi ni udhaifu.
Mambo haya hayana uhusiano wowote na ‘nature’ kama tunavyoambiwa zaidi ya kuendeleza mapokeo fulani yanayojaribu kumtofautisha mwanaume na mwanamke. Hatari moja wapo ya mapokeo haya ni kumfanya mwanaume awe kiumbe anayeathirika zaidi kiafya kwa kuficha hisia hasi. Lakini pia, hali hii inaathiri malezi hasa kwa vile watoto, kwa upande mwingine, wanatamani baba yao awaambie anawapenda, anawathamini na kwamba ni salama kwao kuonesha hisia hasa zile zinazoweza kumtafuna mtu ndani kwa ndani. Tunaposherehekea siku ya baba, tukumbushane kuwa baba kuonesha hisia kwa familia yake si udhaifu—muhimu ni namna nzuri ya kuonesha na kurekebu (regulate) hisia hizo. Kwa kizazi tulichonacho sasa, jukumu la baba ni pamoja na kuweka mazingira salama na rafiki kwa familia kuonesha hisia hata zile tunazozionea aibu.
"Kama Korosho ingebanguliwa hapa yale maganda yake yanatumika kutengeneza Brake pads za magari, kwa hiyo kungekuwa na kiwanda cha Brake pads mtoto wako angeajiriwa pale." Mhe. @HecheJohn
Hata wakati Tanzania ikiwa chini ya One Party System, nchi nzima HAIKUWA NYUMA YA CCM!
Pia Takwimu zako ni za uongo! Zaidi ya Watanzania 60% wamezaliwa wakati nchi ipo under Multiparty System, na vyama mbali mbali vimeshawahi kuwa maarufu; CUF, TLP, NCCR-Mageuzi & Chadema!! Kuna Watoto wamezaliwa hadi sasa ni grownups na wamejikuta ni NCCR kama ambavyo mtu anajikuta ni Muislamu au Mkatoliki.
Umaarufu pekee wa CCM sasa hivi ni;
1. Historical kwa kuwa chama kilichozaliwa kwa muungano wa vyama vilivyopigania na hatimaye kuleta Uhuru.
2. Kulazimishiwa kwa Kutotofautisha Serikali na Chama, Na pia kuendelea kukaa madarakani kwa Mabavu kwa kutumia Vyombo vya Usalama.
3. Generation mpya za Wasaka Tonge na Chawa, ambao wanawaza na kutaka fursa kwaajili yao binafsi na si maendeleo kwa wote, na ambao wanaamini hakuna mbadala wa CCM so wameamua kuwa join.
Other than that, hakuna kingine wanafanya wala kinachowapa umaarufu. Pia Mambo tunayochukizwa na kutoridhishwa nayo ni MENGI na sio Machache kama unavyosema; sijui ni unang’ata na kupuliza au na wewe ni chawa.. UTAJIJUA
Ila tunachukizwa na mengi, na infact yameingezeka miaka hii ya sasa baada ya wao wenyewe kuji-outperform kwa KUTEKA, KULAWITI, KUUWA WASIO NA HATIA, KUIBA CHAGUZI BILA AIBU, NEPOTISM, etc.
The Leader!!
Ni Entertainment Industry Logic kuliko Shetani
Watu wengi wana-engage kwenye stories zenye challenge kuliko Perfect stories.
Hata ukipost hapa perfect stories kuhusu marriage utapata engagement za "Nice", Hongera bro, ila ukipost tukio ulilopigwa na yule mpare 😂😂 lazima watu wajae.
Utaskia Hii imenigusa au nimepitia hii
Challenges ni relatable na zinafundisha sana