@Awesially Uko nkwen ni kota za jeshi uku anakwambia ni za magereza ukimwambia name mpa wakala nimefka ana kuwa mkali ad unawaza umeme huu au Kuna kngne
@FamWorld2025 Me kipindi naendesha bajaji Kuna mtu alinikodi tulitafute gari alisahau bar af Ina lodge ko alivyo ingia lodge akajua ameenda bar ya mbali kumbe ni apo na mm nikamwambia ef 60 nauli tulivyo likuta