ZIRO KOTEKOTE!
Huu ni Unafuu uliopitiliza, Ni rasmi sasa wateja wa Azampesa wanaweza kufanya miamala BURE kwa Azampesa.
Miamala inayofanywa BURE ni pamoja na:
Kutuma pesa Azampesa - Azampesa
Kutuma pesa Azampesa kwenda mitandao mingine
Kununua LUKU/TUKUZA
Kufanya malipo ya serikali
Kulipia Bili (Vingamuzi vyote)
Kukata Tiketi
Kufurahia huduma hii jisajili sasa na Azampesa kupitia Azampesa App.
https://t.co/y0PSpLvsCL
#azampesa #jisajilisasa #zirokotekote #usikubalikupigwa
Hautoi Zawadi
Haumpeleki Out
Haujampeleka Color Festival
Haumtumii Pesa kwa AzamPesa
Mbaya Zaidi Unaendekeza MAKATO.
Jitafakari Kabla hatujakufuatilia.
@SalimuIbwe@Collins071188 Ni rahisi, una download Application ya Azampesa unajisajili kwa laini yeyote uliyonayo kwa kutumia NIDA.
Kwetu makato Yako chini na kulipia Bills ni BURE.
Ukikwama popote...uliza, tuko hapa muda wote.