@1960Remija Mhhhhhh!, Mnamengi ya kujifunzaa hasa kibiasharaa siyo kupayukaaa!, Leteni Mashabiki wa Yanga waliopewa tiketi bureee maana watakuwepo leoo UWANJANI!!,
@MariaSTsehai Rais anapokuwa nje ya Mipaka ya Jamhuri ya Muungano ni lazima na si KWA maneno bali KWA maandishi anatakiwa Ayaache majukumu yake kwa Makamu na ikiwaa Makamu hawezi kuyatekeleza KWA sababuu yoyote ili basi atayatekeleza waziri mkuu!,, That's what I can say!