Huyu dada hakua na Bunduki wala hakubeba mawe , Alipigwa risasi ndani ya ardhi ya Tanganyika akidai mifumo huru ya Uchaguzi. Kuna mtawala kajiweka madarakani kwa mabavu na kumwaga damu za watu wasio na HATIA 💔😭 rest in peace dada . Hatutasahau mpaka haki ipatikane
Kila ifikapo Tarehe 29 nyoyo zetu zinaingia unyonge na simanzi kwa sababu ya ukatili mkubwa mliotendewa pasipo hatia yoyote.
Endeleeni kupumzika kwa amani 💔
Nduli Idd Amin Mama anahangaika sana
Baada ya CHADEMA kujibu barua ya kwanza ya MSAJILI wa VYAMA vya SIASA katika barua ya majibu ya kurasa 29,
Leo shosti Nyahoza, ametuandikia barua nyingine na ametupa siku 10 za kujieleza kwanini CHADEMA isifutiwe USAJILI au kutozwa FAINI.
Ikumbukwe juzi tu Mahakama Kuu ya Tanzania ilitoa umuamuzi na kumwambia Msajili asichukue hatua yoyote dhidi ya CHADEMA lakini naona shosti Nyahoza kapuuzi agizo la Mahakama.
Ndo maana tunasema hii nchi inahitaji Ukombozi, tupate Katiba Mpya ambayo itazipa meno Mahakamana, ambayo itatupa Bunge ambalo linaweza kuwaijibisha Serikali yani kila Muhimili uwe Imara na uheshimu mihimili mingine.
kwasasa inaendeshwa kama Gheto la masela ndo maana leo Shosti Nyahoza anadharau Mahakama kwasababu mtu ambayo anamtuma kufanya huu usenge ni Nduli Idd Amin Mama.
Samia anatuona sisi ni wapumbavu kama yeye kwamba tangu Oktoba 29, hakuna aliyeshitakiwa kutokana na mauwajivya kihistoria; aliyejiuzulu au kuwajibika kisiasa!
Kibri hiki tunakiona; acha tuone kitamfikisha wapi.
RIP to the Fallen Heroes! Tutawakumbuka daima!
Huyu kijana alipotezwa kwa nini? Je maana ya uhuru wa maoni na kujieleza una maana gani katika Katiba ya Nchi Yetu? Ajabu yake hakuna uchunguzi wowote ule umefanywa halafu mtu anapata ujasiri wa kubana pua na kusema "maridhiano"! Hiyo ni kejeli ya Shetani na itabakia kuwa hivyo.
Kumbukumbu na kovu ndo vitu ambavyo vinaweza kumfanya mtu yule asipoteze wala kusahau yale maumivu makali aliyoyapitia
Kila ifikapo tarehe 29 nyoyo zetu zinaingia unyonge na simanzi kwa sababu ya ukatili mkubwa mlotendewa pasipo hatia yoyote.
Endeleeni kupumzika kwa amani 💔
Nyahoza amechanganyikiwa kwa kushindwa kazi ya Abdul kufuta CHADEMA
Kwa sasa kila kauli inayotolewa na mwana CHADEMA aandika barua kutishia kikifuta ili kuonyesha bado ana pambana
Lakini mwisho wa siku nyie CCM eleweni, hakuna namna wananchi watarudi nyuma, mabadiliko ni agenda ta wananchi
EXCLUSIVE: Our CNN investigation found that Tanzanian police killed protesters, and signs of mass graves used to hide their brutality.
We spoke to more than 100 people, used forensic analysis of videos, and satellite imagery. The govt didn't respond to our detailed questions
Wahenga wanasema ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu,
Mwanzo kwenye maelezo yake Kombo alisema kwamba Serikali ya Marekani imewahukumu bila kuwasilikiza means hawajaonana nao.
Badae akasema alikutana Bunge la Ulaya wakamwambia hawawezi kuwasikiliza mpaka watimize masharti waliyopewa ikiwemo sharti la kumuachia huru Lissu na wafungwa wote wa kisiasa lakin pia wawajibishe wote waliohusika kuuwa watu Oktoba 29, Kombo kwa maelezo yake anasema walikataa then Bunge la Ulaya likaamua kuiwekea Tanzania vikwazo.
Leo anasema eti kote nilikopita huko Duniani walisema mbona hamkuja mapema, tumedanganywa sana.
Sasa kama International community walisema wamedanganywa sana kwanini baada ya nyinyi kuzunguma nao na kuwaonyesha ukweli Kama unavosema hapa kwanini bado wakawawekea vikwanzo wakati unasema walikubalaina na Report mliyowapa kwamba ndo uhalisia?
Huyu Kombo unaweza kukuta alitoroka milembe kabla hajamaliza matibabu.
Halafu ukimskiliza vizuri Kombo unaona jinsi ambavyo Idd Amin Mama anaamini Kabudi ni msaada kwao huko Duniania lakin pia unaona ni kwa kiwango gani Kombo hana akili.
Kabudi anamdanganya sana Nduli Idd Amin Mama na Nduli nae kwasababu hana akili kabisa.
Wakat ndugu zetu wanawauliwa, tumeumizwa, tumelia, tumepoteza wategemezi wetu.
Leo waliotoa amri ya kuua waandamanaji, leo wanawasifia polisi kwa kazi nzuri ya kuwauwa watanzania elfu kumi
Watanzania hii ni dhihaka kubwa sana
Ndugu zetu wameuliwa, leo hawa wanawasifia mauaji hayo
.@SenateForeign The Tanzanian government's offer to fund US legislative travel while systematically blocking independent EU & UN human rights missions raises severe conflict-of-interest concerns. State-sponsored funding compromises the integrity of any objective investigation into extraterritorial violence. (1/2)
With opposition leaders like Tundu Lissu politically imprisoned, persistent abductions, and uninvestigated fatalities from late 2025, democratic institutional reforms are urgent. Global accountability mechanisms, including targeted sanctions, must be exercised to uphold international humanitarian law. (2/2)
Cc: @SecRubio@SenTedCruz@SenatorShaheen@StateDept@usembassytz@UNHumanRights@Europarl_EN
#FreeTunduLissu
Hawana chao wauaji hawa wasitupotezee muda tunamhitaji Lissu mtaani mapema!
They have no choice but to release him immediately!
#FreeTunduLissu NOW!
Nyie mapolisi msimsikillize huyu kimama mwovu na mjinga
Kilichotokea Oktoba 2025 hakiwezi kupuuzwa
Sisi kama jamii tunapaswa kuwa na mjadala wa wazi kuhusu kilichotokea - jinsi kilivyotokea na kwa nini kilitokea
Kama ulipewa amri ya kuwaua raia wasio na silaha unahitaji kuuliza ni vipi amri hizo zisizo na utu zinaweza kutolewa na mtu yeyote?
Hii ina maana kwamba mfumo umevurugwa kabisa na lazima urekebishwe!
The police should not listen to this ignorant evil woman
What happened October 2025 cannot be dismissed. We as a society have to have an honest conversation about what happened - how it happened and why it happened
If the police were given orders to kill unarmed citizens they need to ask how could such unconscionable orders be issued by anyone?
This means the system has broken dowm completely and it has to be fixed!
#SamiaMustGo
It’s going to be a make or break for this hero. I bet the whole volume of my red blood cells it will be a make for him. It isn’t about mere justice, it’s about the truth as well, circumstances notwithstanding.
Jana usiku polisi Arusha walikuwa wanazurura kama watekaji na hii gari, bila sare na kukamata vijana! Walikata umeme usiku mzima hadi saa sita! Walikuwa wanawawinda vijana!
Kuweni makini jana kimama kiliwasifia polisi na katibu wao mkuu wa CCM sasa wanaona sifa kuumiza watanzania! Pia huko Arusha ndo kuna mtoto wa katili Mahita! Anayedaiwa na wananchi kuwa walishuhudia alikuwa anaua watu wengi mno wakati wa #TanzaniaMassacre
Last kicks of a dying horse! Kama kuna ndugu yako hakurudi nyumbani jana usiku fuatilia! #SamiaMustGo #FreeTunduLissu