Hamisi mimi ni Mtanzania na ninakuhakikisha kwamba Mungu hajanielekeza kumchagua Magufuli. Kanieleza ni Saali, niende Mecca, nisiabudu MASANAMU lakini kwenye Msahafu na Hadithi sijaona jina la Magufuli. Pia nimesoma Biblia na ninakuhakikishia jina lake halimo.
Hatuna shaka na Utendaji wa Mh Rais uko vizur sna ila nyinyi Tanesco umeme wa REA kuna tizo zimeongezw na Watumishi wenu huku vijijini kila siku tunawaambia hapa lakini hata kutujibu hamjibu ama mnataka tujetunyanyue Mabango kweny ziara ya Mh Rais?
Mbona huwa hamjibu maswali tunayouliza nauliza Tena leo huki kijijini kwetu ukienda kuchukua fom ya umeme wa REA wakati wakuirudisha ule mchoro wa ramani ya waya ring unaambiwa iwe na Muhuri wa Inginia wa Umeme aliyesajiliwa na Serekali je hii ndio Sheria?
Huku kijijini kwetu tunaombwa sh.20000 ili kupitishiwa ramani ya nyumba wanasema ni lazima ufnyiwe wiring na mkandarasi halafu Enginia aje aikague hyo nyumba akupigie mhur ktk Ramani yk kma hauna mhuri wa Enginia uwape sh.20000 hili lipo ksheria kweny Umeme wa Rea tusaidieni