Dr. Martin Luther King, Jr. dedicated his life fighting for equity and justice. He taught us that even in the face of intimidation and discrimination, we must never stop working towards a better future – a lesson that feels especially relevant today.
Change has never been easy. It takes persistence and determination, and requires all of us to speak out and stand up for what we believe in. As we honor Dr. King today, let’s draw strength from his example, and do our part to build on his legacy.
Vyama vya siasa vinajengwa haswa na watia nia kwasababu wanamatamanio binafsi pia pamoja na kukipenda chama na matamanio binafsi kwenye vyama vya siasa hayajawahi kuwa kosa. Watia nia wanachangia sana kufanikisha program za chama. Kimsingi hili ni muhimu
@Dr_DGwajima@lugataJack Pale Mbezi kwa magufuli nafiki ndio itakuwa Center kubwa sio kwa uwingi ule wa watoto waliopotea, kutelekezwa na kukamatwa wale wanaotaka kutoroka. Ofisi ya ustawi ipo busy sana pale juu. Tulimtafuta mtoto wetu mwezi tukapigiwa yupo pale. Serikali inafanya vizuri
@BinKombo3@Heche_M_Enock Lisu mpaka sasa si mtuhumiwa au mahakama imemkutana na hatia? Tuiache mahakama itafsiri sheria iamue. Mahakama zetu ni huru. Lisu akichiachiliwa huru kwamba hana kesi bila shaka mtaipongeza mahakama.