@MarekaMalili Anza sasa sometimes later inakuwa never
Jpm alishawahi sema usipoamua hutajenga hata choo,apumzike kwa amani dingii
2022 niliamua nilipigiga na maisha, Nina make na mtoto, biashara zote zilifanya vibaya niliuza hadi frizer, sikueleweka hata kwa make wangu ila sijuti Nilianza upya
@MarekaMalili Kazi tumezikuta na tutaziacha tufanye kwa kubalance masuala ya kazi na familia na ya kijamii pia
Kuna wazee walikuwa bize na kazi hawakukumbuka ndugu au mitaaa iliyowale
Sasa hivi hawana vyeo Wala campan ya wafanyakazi wenzao wamebaki na intimacy and isolation, TUSIJISAHAU
@emabilly2001 Mimi ni shabiki wa Messi sikuwa na nafasi yakumuita mwanangu jina la mesi ila alipotokea janja yamal nami kubarikiwa kupata mtoto nikampa jina Yamal
Tupende vitu vizuri Jana anajua
@NMweusi85571 Niliacha kushangilia baada ya lile tukio nilikuwa tayar kwa matokeo yeyote, mimi kushuhudia mesi kubeba kombe la Dunia ni kama nimemalizana na masuala yote ya soka