Wakili msomi Peter Kibatala amejitolea kumtetea Jonas Afumisye Mwangunga aliefukuzwa kazi na shirika la TRC kwa kupinga TOZO, wakili Kibatala amesema endapo Jonas atakwenda Mahakamani kutafuta haki yake yeye yupo tayari kumtetea bure.
#Retweet za heshima Kibatala.
"Ukisema wewe sio mwanasiasa basi ujiandae kutawaliwa na usilalamike,siasa ni kitu mhimu katika jamii,ukikaa mbali na siasa usilalamike ukiambiwa Uhamie Burundi, msilalamikie Tozo kwa sababu mmewaachia siasa wababaishaji,kama hamtaki siasa msilalamike, lipeni Tozo"@TunduALissu
UFAFANUZI FC founded in March 2021 is a professional tozo-kodi club based in United Republic of Tozo-nia. The club competes in the TOZO Premier league, the top tier of KODI.. They play their home games at mama yuko kazini stadium. They are nicknamed mama anaupiga mwingi.
@privaldinho@George_Ambangil Priva sisi Madrid man u ni chaka letu wachezaji wetu wote tuliowatumia tukatosheka huwa tunawapiga hela huyu kama varane tu kazi kwenu