Kuna jamaa ilikuaga rafiki yangu highschool ilikuaga inajificha inasoma usiku nikiwa nimelala.. sasa day moja nikaamua nianze kusoma ile day nilienda saa saba ya usiku nikampata ... iyo awakening call pekee ilifanya niume D+ Godfrey kutoka migori umbwa wewe๐๐
ugly and broke nigga ndo nadandia mkokoteni leo tumekua tunachotea wamama wa area maji .. napitana na couples wakiwa wameshikana mkono a wave of sadness inajaa kwa macho si ati juu sina dem ni juu jana supper nilikula maji na kachumbari na pia leo ni ivo eloi