@GwamakaMbughi@SuluhuSamia@TunduALissu Hao wanachama wa CDM nao waache kutumia makamasi kwny huu utawala dhalimu ya CCM. Mipango mikakati yao isiwe ya mazowea na kujiweka waziwazi kwa wahuni hao. Wakitaka wasafiri km timu ya mpira watakamatwa tu km kuku. Kwnn wasisafiri bila kuvaa nguo za chama? Kwani lzm uvae
@Jayeletronika@SuluhuSamia@TunduALissu Niko Kasulu njiani kutoka Kigoma kwenda Mwanza. Lazima Chama kitazungumza iwe ni kutokea Makao Makuu au popote na kupitia msemaji yoyote atakayesema kwa niaba yetu. Hakuna wa kuzuia uhuru na haki yetu kama taasisi na viongozi wa watu.
Mwenyekiti Taifa Mh. @TunduALissu na Makamu Mwenyekiti Bara Mh. @HecheJohn wamehitimisha ziara ya siku 8 Kanda ya Nyasa ambapo agenda kubwa ni kuelimisha Wananchi juu ya umuhimu wa mabadiliko ya Sheria za uchaguzi.
Wananchi wameelewa na wameapa 'hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi'
What an incredible day!
A heartfelt thank you to Professor Mark Mwandosya @MarkMwandosya for honouring us with his presence @TPHbookshop to sign his book Living with Cancer and other works he collaborated on with us. We also appreciate everyone who attended and had their books signed.
Thank you all!
#LivingWithCancer #Mwandosya #HopeAndStrength #BookSigning #KitabuNiZawadi
BARUA YA NYERERE KWA PHILEMON SARUNGI KUPITIA OFISI YA RAIS
Mwaka 1964 baada ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Baba aliandika barua ya pongezi kwa Nyerere kutoka Hungary
Mwalimu Nyerere kupitia msaidizi wake Joan Wicken alimjibu rasmi! Na 1969 alipofanya ziara Hungary alikutana na Baba na kumwomba Baba ambaye alishakuwa daktari kuwa arudi nyumbani
Baba alikuwa mwanachama wa TANU na miongoni mwa vijana walioenda kusoma nje ili warudi kujenga nchi. Alitii ombi la Mwalimu Nyerere na kurudi Alikuwa mmoja wa wanataaluma waliofanya kazi karibu na Nyerere kujenga sekta ya afya!
He served his country well!
We thank God for his Life #RIPProfSarungi
@Udadisi@EduTalkTz nina swali lingine pia @fatma_karume
Iwapo Wakenya wote wanasoma kwa kiingereza iweje walio wengi hawaongei Kiingereza? Kila mara tunachanganya suala la lugha ya 'elite' na ya wananchi walio wengi
Swali kwa Serikali:
Mbona waKenya wanaongea na kuandika English vizuri na pia ni LEADERS kwenye KISWAHILI?
Something is terribly wrong with our education system.
Waziri Mkuu, Naibu Waziri Mkuu, Mwanasheria mkuu wa serikali, Spika wa bunge, Naibu Spika wa bunge, Mawaziri na Wabunge wote, wanalipwa posho ya kujikimu (perdiem) kwa siku ni Sh220,000.
Jumla ya idadi yote ya wabunge ni 393. Wabunge wa majimbo ni 264. Wabunge wa viti maalum ni 113. Wabunge wa baraza la wawakilishi ni 5. Wabunge wa kuteuliwa na Rais ni 10. Mwanasheria Mkuu wa Serikali 1.
Jumla ya wabunge wote bungeni ni 393. Hivyo, jumla kwa siku moja Dodoma wanalipwa Sh86,460,000. Hizi ni fedha zenu. Hebu tazama hapo kwenu, kata zenu zina vituo vya afya? Visima? Barabara? Shule?
Kwa maoni yangu, katiba ieleze; fedha ya kujikimu inapaswa kutolewa kwa wabunge (ukiondoa mbunge wa Dodoma Mjini), kwa hoja kwamba makazi yao siyo Dodoma, wapo nje ya kituo cha kazi, jimboni.
Kwanini watu hawa hapo juu walipwe fedha za kujikimu (perdiem) Sh220,000 wakati serikali imewajengea makazi yenye huduma zote Dodoma? Makazi yao yana walinzi wanaolipwa na serikali. Kujikimu vipi?
Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu, Spika na Naibu Spika wa bunge, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wanastahili hayo malipo ya Sh220,000 kwa siku kwa ajili ya kujikimu wakiwa Dodoma? Kwanini wanastahili?
Waziri Mkuu, Naibu Waziri Mkuu, Mawaziri na Spika wa bunge na Naibu Spika wa bunge, Mwanasheria Mkuu wa Serikali; vituo vyao vya kazi ni Dodoma (lilipo bunge la JMT). Serikali imewapa makazi Dodoma.
Je, watu hawa wanalipwa kwa sababu tu na wao ni wabunge kama wabunge wengine? Au kuna sababu nyingine? Kama hiyo ndio sababu ya msingi, Je, hii ni sahihi? Je, sio matumizi mabaya ya fedha za umma?
MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.