Imagination running wild, follow me for stories, drama, funny tweets etc.
Original tweets kabla hazijaenda FB na whatsapp, kuwa wa kwanza kuzisoma. ๐๐
VITA NI MAHESABU.
-ukimshambulia adui unatumia makombora
-Kujilinda adui yako anatumia makombora ili kutungua drones au missiles zako.
- makombora ni gharama, so kilA mtu anaidadi kulingana na mfuko wake, eg ukraine wameishiwa wanaomba kwa wahisani.
- missiles ni gharama
I don't know about Goldbridge. City ARE cleaning House. Absolutely confident in our position. It's been a long time in coming but the Club has kept its powder dry for good reason.
@husstlerMtabe@meetmelch mnavyowasema wenye degree hivi wamewafanya nini? tangu nizaliwe sijawahi sikia mtu kasema siwezi fanya freelancing kwa sababu nna degree. wewe umemsikia wapi?
@MichaelWnek @__TheNearPost__ ok o i love both of them as any city fan should but let me tell you something, josko is not anywhere the best player in the world esp at the left back.
he was considered a flop just a few months back for a reason
@promo88498@PKishamba nyie mashabiki maandazi mnafanya timu isipige hatua. haya mgunda akishinda mechi zote ndio simba ina wachezaji wazuri?
badala ya kuuwajibisha uongozi unamkebehi kocha
mgunda akashinda mechi zote mpe awe kocha wa kudumu, ila akija kocha mwingine anatolewa mambo yanarudi yaleyale
@YerickoNyerereT iran imekiri ila imesema shambulio hilo ni quds wamefanya ambao ni waasi wa iran. yaani shambulizi halikutokea nje ya iran bali ndani ya iran
@Mutabuzi1@YerickoNyerereT iran imekiri ila imesema shambulio hilo ni quds wamefanya ambao ni waasi wa iran. yaani shambulizi halikutokea nje ya iran bali ndani ya iran
@PharesElisha1@YerickoNyerereT iran imekiri ila imesema shambulio hilo ni quds wamefanya ambao ni waasi wa iran. yaani shambulizi halikutokea nje ya iran bali ndani ya iran