@fumbokhanJr we mwambie nmekupenda wewe kama wewe sijakupendea kitu chochote. Me msafiri na we ndo kituo kwako nishafika, hisia zangu zimedondokea kwako Hususani Nikisema nimekupendea sura ko siku ikiungua ntakuwa sikupendi tena??, nmekupendea macho siku ukiwa kipofu takuw ckupendi tena?