@TalhataAll84538@BuffaH65 Wapakstan wa kino walinipa kimeo mwezi Feb, bila kuwa mbishi walishanichomesha chuma kufika kigogo kusimamishwa na traffic naambiwa ruda nyuma paki pale chuma akirudi nyuma, kuangalia vizuri taa ni taa pambo tu hakuna gropu hata moja
Mbowe ktk vitu anajuta ni kufanya uchaguzi wa huru ktk chama,,, alijua Lissu hawezi shinda kumbe Wajumbe sio watu wazuri... KULA kwa Mbowe ila KURA kwa Lissu
Matokeo yake kasusa kabisa,,, yaani hata ahamie CHAUMA watu hawatoshtuka
@DullahTheking2@chapo255 Lakini wao waliiependa arsenal ilikua yamoto sana unbeaten yao Hadi wanaonekana wamekuja kuwa kama vile Chelsea,man city wameshindwa kuipata,same to jide kushinda matuzo machanel O sijui kola uko enzi hakuna izi social media sio kawaida aseee