@VitusNkuna Apo mwenyewe umekaa, ukawazaaa, uka type mara nne nne una ufatu nakuandika. Atlast ukapata heading, MY COUNTRY PEOPLE ... usivo kua na akili, inawezekana ikakushinda kwa kiEnglish.
Akili ni nywele, zako uka zinyoa. Akili ilio baki ndo hii bangi unapost
.. Sema USA inapitia wakati mgumu kinoma
Kabla ajamalizana na Russia, mara India kamdungua Pakistan, mara Iran kamchapa Iraq, mara China anapitisha ndege za Kivita kwenye anga la Taiwan, mara North Korea anatest mitambo. Kazi kweli kweli 🙄
@bongofive Kuna Maisha baada ya kuchora hio tattoo...
Apo bado Corona ...
Huu mwaka 2020 inabidi tuweke kwenye MAKUMBUSHO YA TAIFA... Yani ujengewe kijumba ivi flani cha vigae na Vioo.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu raia wa China, Liang Hu kulipa fidia TZS 50 milioni kwa kosa la kuua tembo 511 wenye thamani ya TZS 7 bilioni. Pia alitakiwa kulipa faini TZS 300,000 au kifungo cha miezi mitano jela. Mtuhumiwa aliandika barua kwa DPP kukiri makosa yake.