๐ทSURAT_AZZUKHRUF_80๐ท
Au wanadhani kwamba hatusikii siri zao na minong'ono yao?
Wapi! Na wajumbe wetu wapo karibu nao, wanayaandika.
Subhana_Allah
ูุง ุดูุก ูุนูุฏ ูุงูุณุงุจูุ ุงุญูุธ ูุฐู ุงูุนุจุงุฑุฉ ุฌูุฏุงู ูุจู ุฃู ุชูุณุฑ ุดูุฆุง ุฌู ููุงู.
Hakuna kitu kinachoweza kurudi na kuwa kama zamani. Iweke akilini vizuri sentensi hii kabla hujakivunja kitu kizuri.
#Riziq kuwa ya taabu, sababu moja wapo, ni WATU kudumu katika Zinaa. Zinaa indosha kheri zote.
Tuzihifadhini tupu zetu, Ili zidimu na ziwe nyepesi #riziq zetu.
SIMBA wanayoisema ni Mbovu
1. Ina point 12
2. Imeshinda mechi zote
3. Imefungwa Magoli Matatu tu
4. Imefunga Magoli 12 mpaka sasa
5. Inaongoza Ligi kuu ya Tanzania bara
๐ด{Na wakaja kwa baba yao usiku wakilia}. Surat Yusuf: 16.
โข Usifanye haraka kwenye kutoa hukumu.
โข Wala usiwe mwepesi wa kumwonea mtu huruma.
โข Mara nyingi watu waliodhulumu huvaa mavazi ya watu waliodhulumiwa.
โข Na watu pindi wanapoelezea stori zao, ima watakuwa โฌ๏ธ
Aina nzuri zaidi ya rizki si pesa, bali ni utulivu wa roho, afya ya mwili, usafi wa moyo, utimamu wa mawazo, dua ya mama, fadhila ya baba, uwepo wa ndugu, kicheko cha mwana, kumjali rafiki, dua ya anayekupenda kwa ajili ya Mwenyezi Mungu. Allah akupe aina zote hizi za rizq. Ameen
Riziki huja kwa anayeitafuta, na sisi hatutochoka kuitafuta, tunaye Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema yeye ndiye anayejua atupe nini na atupe lini, na sisi tunatafuta huku tukimuomba yeye muweza wa yote, kheri yatoka kwake๐คฒ