@fumbokhanJr Chauma Wamepigaje hapo?
Kwamba nchi inahitaji ubwabwa kuliko huduma za afya, miundombinu na mengineyo?
Wacha tusubiri kura za ubwabwa na za maendeleo mengine ili tumpate mshindi
@simbahd Inawezekana pale TU ambapo fikra za hilo zinaendana au mwenye fikra hizo ana maamuzi au mamlaka juu ya anaofikiria afanikiwe nao.
Kuna viumbe vikiona mafanikio ya wengine vinahisi vimefeli, na hapo ndiyo husda zinazaliwa, na mhusudiwa kuanza kurudi nyuma kimaendeleo.
"Kila mtu ana aibu zake na udhaifu wake ambazo hupenda kuzisitiri. Hivyo, muonekano na tabia za watu tuzionazo upenuni ni sitiri ya undani wao." ~Togolani Mavura.
@Izzydotco@YoungAfricansSC@ikuluzanzibar Wewe ulitakaje?
Yanga hatuna jambo dogo, tunathamini chochote ambacho mtu kajitoa kwacho.
Tungeiokota wapi 100m kirahisi?.
Acha wivu mwana... Subiri timu unayoipenda ifanye vizuri ndipo uitume kutoshukuru, sisi hata maji ya GSM chupa moja tungeshukuru. Tulia