@bonifacejoseph_ Kwani huyo Alcantara ali achieve nn kwenye timu ya taifa? Mchango mkubwa wa Thiago ni wakati akiwa na Bayern, nje ya hapo anabakia kuwa kiungo aliyekuwa na great potential ambayo iliathiriwa na majeraha lakn ambaye career yake kwa kiasi kikubwa haikuwa na mchango national team.
@johnmakalangaji@Ayodimejitz Upo sahihi, hii mifuko ni wizi kama wizi mwingine, na mbaya zaidi unakatwa pesa kwa lazima halafu bado mtu anaamini mifuko inasaidia, kwa nini isingekuwa hiari kwa mtumishi kusevu ama kutosevu, obviously mifuko inawanufaisha walioweka sheria ya kuchangia kwa lazima
@Ayodimejitz Ulishawahi kujiuliza kwa nn ni lazima kisheria kukatwa pesa na hizo security funds? Kama zinasaidia kwa nini isiwe hiari ya mtu kusevu ama kutosevu? Jambo lolote likishalazimishwa kisheria, ujue lina maslahi kwa aliyeweka sheria na sio kwako wewe.
@Ayodimejitz Jambo lipi zuri, upate pesa yako yote ungali bado una nguvu ili utengeneze sustainable investment zitakazokuwezesha kuishi vizuri hata baada ya kustaafu, ama kuweka hela nssf ambazo utakapostaafu huzipati zote na pia unakuwa huna nguvu tena za kuwekeza?
@GHungilo@bajabiri Soko la dunia lina deal na export na import, kama unayo ndani bei yake haiwezi kuwa influenced na soko la dunia maana bei za ndani huoangwa kutokana na sera za uchumi wa ndani