@BarakaMaviatu Mwendokasi haijamalizika kwa 100% wanawaza mradi mwengine unaofanana na huo. nakwambia unaweza kushangaa wakabomoa miundombinu ya mwendokasi ili mradi huo ufanikiwe
@Roma_Mkatoliki Mkato binadamu ni wanafiki sana, ukiangalia shida ya SA na waafrika wengine ni kutokana na waafrica kukimbia majukum yao kama wanaanchi na kutaka kuwabebesha mzigo wengine. TZ ndio ya kwanza kupata uhuru so kama tungekuwa makini watu wa SA ndio walipaswa kuja kutafuta maisha TZ.
@godbless_lema Issue ni kwamba kwa nini kila tapeli anapatikana Tabora, na awe anataka kutapeli viongozi wa Tabora. mwisho mkuu wa mkoa ndio anakuwa staa kwenye movie
@zittokabwe Ingekuwa kwa kanda ingekuwa nzuri zaidi, afu wabunge wa JMT wanatoka kwenye kanda kwa idadi maalum kulingana na idadi ya watu na eneo wanao tawala. huku kwenye bunge la kanda kuna kuwa na wawakilishi kutoka kila wilaya.
@phano09@bajabiri Hivyo vyote sio kosa. Nilikuwa najaribu kutoa mawazo yangu. But ni vizuri ukapitia money laundering act utajifunza zaidi. Kuna kitu kinaitwa know your clients. Banks leo ukitumiwa kiasi kikubwa zaidi ya kawaida yako utashangaa unaitwa.
@bajabiri Kwa hilo inategemeana. Lakini ni jukumu la mpangaji kujua shughuli za mpangaji wako. Pili wanaangalia mausiano yaliyopo kati ya mpangaji na mwenye nyumba