Hivi hakuna anaewaza kuwa Viwanja vya Mpira Mikoani ni Vya Umma ila Wana Mapinduzi wamejimilikisha? Vilijengwa kwa nguvu za Wananchi, Ajitokeze Mwanasheria apambanie vilejeshwe Serikalini
@chiefgodlove1 @fumbokhanJr@ccm_tanzania Najuwa hutaniagi Tajiri. Nipo Shamba navuna Tumbaku Hela imekata na njaa kali 0787032212
Nitumie Hela yoyote itanifaa
@TanzaniaOneJezi Masheikh wengine wapo jela mpaka Leo. Hamna Askofu hata Mmoja aliewahi kukaa hata Maabusu. Sana sana mtaungana na Serikali kusema ni Magaidi. Sheikh Mselem na wenzake