Good morning wana wa Mungu, kiufupi hapo ni Kawe na ni usiku wa jana umati umejitokeza kumkabidhi mwenyezi Mungu tabu na mateso yao wasiojua utatuzi wake ni lini.
Siwezi kuwaita WAJINGA au WAPUMBAFU ila naomba niwakumbushe hayo madhira yao sio makosa ya Mungu ni mifumo tulionayo.
@ILYASRYANGULAM@abusumayyah_o Ni kweli kuna makosa ya kimaandishi japo niliandika lugha aliyoandika mwenyewe hili tuelewane, fuatilia ningeandika tofauti angehama mada maana pa kupenyea hapakuwepo.