Tunaendelea kushukuru๐
Hadi sasa deni limepungua hadi kufikia #Tshs. 460,000/=
Kwa wanaotumia mitandao ya simu (Voda, Airtel, Yas na Halotel au Azam pesa).
Chagua LIPA BILL
Kisha MALIPO YA SERIKALI
Malizia na kuweka KUMB NO. 991460522207 ndiyo control no. jina litatoka lake
Mwenyezi Mungu akuhifadhi Fam @Ninja_Damour
Natamani Ulogin nitaniane na wewe kuhusu Mkato Vs Tamaduni. Nikutanie kuhusu HITS
Nimekaa nimeumia vile mwanaume machozi yanaishia ndani.
Familia yako, marafiki zako, na sisi wote tunakusubiri. Hii sio kawaida, na haitakiwi kuwa kawaida.
Rudi salama bro, bado tuna mambo mengi ya kumalizia ๐ค
#FreeNinja
Gemini & Chatgpt zinanisaidia kupata Tickets za ndege bei Rahisi.
Nikiandika hiyo thread makampuni ya ndege na mawakala wako watanimind sana๐
Hii post ifike REPOSTS 200. Nitapandisha Uzi.
Huhitaji kulipia Buffer ai kama zamani Ili kukusaidia kuskyrocker akaunti yako ya Pinterest
Kuna hii software nimekua naitumia kwenye Pinterest kufanya affiliate marketing kwa mda sana
Huhitaji kulipia $20 leo nitakupa bure kabisa
PS: Retweet, follow & comment " PIN MONEY"