@thomasjkibwana Suala la akina Halima ni Uthibitisho tosha kuwa CHADEMA ya akina Kigaila lilikuwa genge la Wahuni!.
Mtu yeyote mwenye akili sawasawa hawezi kuamini ati Halima alimsingizia Mbowe maana alisema "Uwepo wetu bungeni una baraka za Mwenyekiti wa Chama" ๐๐๐
@YerickoNyerereT Jasusi,
Unawapangia Kamati kuu cha kujadili?? ๐.
Unaweza kukuta hakuna hata moja kati ya hayo yako litakalojadiliwa.
Lakini wewe kama Jasusi, ungetoa majibu ya maswali hayo hata kama majibu yapo??.
KUTOA MAJIBU HAYO NI KUJIANIKA KWA ADUI.
Unawadanganya wenzako ๐๐๐
Siasa za TZ ZINADUMAZA FIKRA NA MAENDELEO.
CHAUMA inanikumbusha chama kilichokuwa na usajili, kikawakaribisha akina Zitto na kikaishia kubadili Jina, Bendera hadi Uongozi. Watoto wa jana wanajua ACT Wazalendo ilianzishwa na Zitto.
Siku za babu Rungwe madarakani zinahesabika ๐!
@ExMayorUbungo Hatimaye aliyesema "Watu wote wanaweza kuhama CHADEMA asitikisike, ila siku Tundu Lissu akihama CHADEMA basi na yeye anaweza kuhama" ๐ atazungumza kesho.
Kazi yetu ni kuweka bando tu.
Safari hii mmetajirisha mitandao ya simu!!
@hancymachemba@Nnauye_Nape Wanayo mawazo mazuri lakini siyo wamiliki wa mawazo hayo.
Ukiiendekeza dhana ya hili ni wazo la fulani ndo unasababisha unayerithi mikoba atelekeze wazo hiyo.
KWA HIVO KUSEMA NI WAZO LA FULANI, Ni dhana isiyofaa kwenye utumishi wa umma!!
@EJ_Mwita CCM kwenyewe nafasi hazitoshi. Sidhani kama kuna hata mmoja atakayebebwa ๐.
Subiri filimbi ipulizwe uone vumbi. Hakuna mpinzani mwenye kuaminiwa kuliko mwanaCCM. Labda wahamie CCM ndo wanaweza kufikiriwa!!