Hotuba ya Mwenyekiti CHADEMA @TunduALissu akiwahutubia wakazi wa Sumbawanga Mjini katika oparesheni ya #noreformsnoelection. Hoja hizi MaCCM yameshindwa kuzijibu. MaCCM yameamua kumkamata na kumstaki kwa uhaini. Hoja hazifungwi gerezani. Hoja zijibiwe. #FreeLissu#LissuSioMhaini
@officielsalome Hiyo pic inasadia vip kuleta dawa hospital,
Inasaidia vip tatzo la Ajira Nchini,
Inasaidia vip miradi ya maji kuongezeka? UVCCM picha isiye ajenda leten hoja za maendeleo aliyofanya mama enu tofaut na goli la mama, pumbavu