@OleSebele@TanzaniaOneJezi Sio alishindwa hakugombania kipindi chake kiliisha kwa wkt hule hvyo unapaswa upumzike then km utarudi tena sawa, hata angegombania na shoo angepata tu maana tayari anamamruki wake wapo
@JasamKileo24@zoetjesheeftX Kwa mjini ndo inakua changamoto maana hata maeneo yenyewe ya kukimbilia hakuna foleni za magari na wingi wa wanafunzi, ila kwa vijijini iyo ipo sana warm up ipo ya kutosha
@AmosMerama97886@ayubu_madenge Zanzibar ipo wapi kwani kuna kiti cha zanzibar AU au UN zaidi ya Tanzania hata CAF haiitambui, so tanganyika + zanzibar ni Tz ndo kuna kiti chake uko kote
@AmosMerama97886@ayubu_madenge Kwanza hatuna nchi ya tanganyika,
Hakuna uchaguzi uliowai recordiwa ushindi wa asimilia 99.99 wa ccm,
Arafu nchi km wilaya kwa Tz ishindwe kwl kuijenga wkt Tz kuna kagera mpk mtwara kote wanakutegemea.
Na iyo nchi yako PK km haina rasilimali kwnn imewekewa vikwazo kuiba za watu
@AmosMerama97886@ayubu_madenge Wajifunze nn udictector?, nchi raisi anashinda kwa 99.02% marufuku kumkosoa wala kumsema vibaya ndo yakujigunza
Mbona alivyokuja magufuri alitaka apply kidg vya uyo mkaanza kumsema na kumchukia kila kona.
Ndo tuseme Wali wa kwenye harusi ni mtamu kuliko wa nyumbani