@moodewji Naitwa Arnold Shoko Mwanzilishi wa Startup inayoitwa @Samaki__Farms Tumejikita katika uzalishaji wa virutubisho mbadala vya protein (alternative protein ingredients)kwa ajili ya chakula cha samaki kwa sasa tunatumia uchafu ili kupata bidhaa zetu. Tafadhali Retweet #MoGifts2022
Shukrani kwa watu wote waliokuwepo pamoja nasi jana kuhakikisha tunaibuka na ushindi ๐
Tunawakilisha kimataifa nchi ๐น๐ฟ na wananchi wake ๐ฅ ๐ #NguvuMoja
TIPS ZA JINSI YA KUA INFLUENCER WA KWELI - THREAD (UZI)
Influencer ni nani? Kwa maana rahisi influencer ni mtu mwenye uwezo wa kushawishi wanunuzi wa bidhaa au huduma kwa kuitangaza au kuipendekeza kwa followers wake kupitia mitandao ya kijamii. #ElimikaWikiendi
Luka Romero anakuwa mchezaji mdogo kuliko wote kucheza kwenye La Liga anaweka rekodi hio baada ya kuingia sub kwenye mchezo wa Real Madrid dhidi ya Mallorca kinda huyo ana umri wa miaka 15 na siku 219.
Kwenye mchezo wa leo Darajani (Stamford Bridge) ikitokea Manchester City wakapoteza mchezo mbele ya Chelsea Liverpool atatwaa rasmi kombe la ligi kuu soka Uingereza EPL.
Imeripotiwa ya kuwa Kiungo Thiago Alcantara amekataa ku saini mkataba mpya na klabu yake ya Bayern Munich anahitaji kujiunga na Liverpool kwenye dirisha la usajili la majira ya joto. https://t.co/CzIxlAH1Bc
#Matokeo#VPL
Full Time : Mbeya City 0-2 Simba Sc
Bocco 6โ,54โ
Full Time : Kagera Sugar 1-0 Azam Fc
Mhilu 33โ
Full Time : Alliance Fc 1-1 Polisi Tanzania
Kiggi51โ | Buswita 80โ
Full Time : Biashara United 4-0 Kmc fc
Omary 36โ | Green 68โ , 72โ , 90+1โ