Political figure, under CCM.
Young and Visionary Politician.
Then Minister for Finance and Investment_DARUSO/UDSM
Kibaha sec Alumni
#student of Abraham_Lincoln
@mandweki@IAMartin_ Kwann mlimshambulia Zito? Kwann hamkukubali mapemdekezo ya kikosi kazi? Kwann mlijitenga na maridhiano na Leo mnataka maridhiano? Chama cha wasiojitambuwa
@fred_vunjabei Kaka Fred, hujawahi hata kuwa mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM ya Tawi au kata ukataka kurukia halmashauri kuu ya taifa? Kweli kabisa, ilikuwa serious? Au ulikuwa unataka kupata uzoefu tu. NEC ni kikao kikubwa sn ndani ya CCM, kinahitaji makada wabobevu walioiva kiitikadi
@MariaSarungiFan Hata huyo alipelekwa shule, ni graduate wa Mzumbe university huyo. Tatizo sio kwenda/kupelekwa shule tatizo ni Akili na ufahamu wa mtu. Kwa tunaomfaham Mwijaku hatushangai, ndio maisha yake hayo. Degree yake haimsaidii Ila anasaidiwa na hizo tabia
@KumbushoDawson CHADEMA ni chama cha hovyo Sana yaani. Walimshambulia Sana Zitto Kwa kufanya maridhiano. Leo Mwenyekiti wao kaenda duniani huko, katangaza maridhiano hakuna mwenye ubavu wa kumpinga. Tunataka tuwaone mjitokeze hadharani mkatae maridhiano sasa.
@John_Pambalu@TheODMparty@udm CHADEMA ni chama cha hovyo Sana yaani. Walimshambulia Sana Zitto Kwa kufanya maridhiano. Leo Mwenyekiti wao kaenda duniani huko, katangaza maridhiano hakuna mwenye ubavu wa kumpinga. Tunataka tuwaone mjitokeze hadharani mkatae maridhiano sasa.
@KumbushoDawson CHADEMA ni chama cha hovyo Sana yaani. Walimshambulia Sana Zitto Kwa kufanya maridhiano. Leo Mwenyekiti wao kaenda duniani huko, katangaza maridhiano hakuna mwenye ubavu wa kumpinga. Tunataka tuwaone mjitokeze hadharani mkatae maridhiano sasa.
@godbless_lema CHADEMA ni chama cha hovyo Sana yaani. Walimshambulia Sana Zitto Kwa kufanya maridhiano. Leo Mwenyekiti wao kaenda duniani huko, katangaza maridhiano hakuna mwenye ubavu wa kumpinga. Tunataka tuwaone mjitokeze hadharani mkatae maridhiano sasa.
@VitusNkuna CHADEMA ni chama cha hovyo Sana yaani. Walimshambulia Sana Zitto Kwa kufanya maridhiano. Leo Mwenyekiti wao kaenda duniani huko, katangaza maridhiano hakuna mwenye ubavu wa kumpinga. Tunataka tuwaone mjitokeze hadharani mkatae maridhiano sasa.
@lifeofmshaba Aache ujinga wake, akacheze alikozoea kucheza. Yaani Mwenyekiti wake analipiwa nauli na gharama zote za safari huko US halafu hasomi mchezo unavyokwenda? Akae Kwa kutulia kabisa.
@HecheJohn@HecheJohn Zito alipokubali maridhiano na kikosi kazi mlimshambulia sn. Leo Mwenyekiti wenu keshajiunga na anaimba wimbo wa maridhiano pia. Mnapata picha gani hapo? Mmeshapigwa subirini 2025 mpigwe vizuri.
@Ntobi_ Hawezi kuwavusha huyo, hata safari za nje ya nchi anagharamiwa kumbe? Kabla hajaingia gerezani alikuwa na Kadi kubwa sn ya harakati mpaka anakamatwa Mwanza. Baada ya kutoka gerezani mbona harakati zimekwisha? Hamkai mkajiuliza maswali? Mmeshapigwa