Tenga muda wako wa dakika 20, msikilize Katibu Mkuu CHADEMA @jjmnyika akizungumza na wananchi wa Manzese, Ubungo, Dar es Salaam leo, akieleza na kufafanua kuhusu mkataba wa #uuzwajibandari za Tanganyika kwa DP WORLD (Dubai).
Katibu Mkuu wetu ni viwango vya juu. Msikilize. 1/6
“Mkataba huu ni wa kuuza Taifa kwa ufupi tumeuzwa, Barua anayotuletea Waziri Mbarawa na Msigwa ni Barua ya Mapenzi siyo ya mkataba, ni sawa na karatasi ya chooni” Dkt. Wilbroad Slaa. @chiefodemba
Na Prof @IssaShivji mzee wa barua !
Ardhi Mali ya Nani ??? Good morning Bunge ! Tuwambieni Hawa watu ukweli bila kuogopa, The must be responsible their evil actions ,
‼️ #Tanzania
MoU ya TPA na DPW siyo SIRI! Hiyo ni sehemu ya mradi wa @WorldBank
We demand to see the MoU between Tanzania Ports Authority and DPW to know what exactly was agreed upon in Feb 2022 since WB report cited this with regard to IT system that was part of the project funding
How did this go from a consultancy to IGA that wants to take over our sea and lake ports?
We need answers
Suluhisho la matatizo ya sasa ni sisi wananchi kujitambua,kujikubali, kujiamini,kujisimamia na kuthubutu kukataa upumbavu ushenz wa watawala maana kama sheria za sasa zinaruhusu maandamano ila sheria inakanyagwa chini basi hata katiba mpya ikiwepo itakanyagwa pia. Tuamkeni aisee
Afande mULILO hizi ndizo sababu za kisheria za kutoa ZUIO la mtu asiandamane. Afisa polisi AMEPIGWA MARUFUKU kuzuia haki ya kukusanyika nje ya sababu tajwa. Hapa hakuna sababu uliyotaja wewe! Nashauri @tanpol ifuate sheria na isitumie nguvu ktk kutekeleza MAJUKUMU yake.
@PMadeleka Naunga mkono. Tunahitaji AMANI kuliko hata hiyo fedha ya bandari wanayoitamka kila siku. Tunahitaji uhuru zaidi ya fedha. Viongozi wetu waharibu kuwa makini na watu wanaowaongoza. Sie sio mazwazwa jmn. Polisi kazi yako ni kulinda raia na Mali zake na sio kupiga watu rungu
Tangu nimekua na akili timamu na kujitambua nashuhudia hii ndio bajeti ya kwanza ambayo wananchi hawana mzuka nayo, haina mvuto hata kidogo na wananchi wengi wala hawaifuatilii na wengi hawajui kwamba bajeti ya nchi inasomwa leo. Hili ni tatizo kubwa kwa serikali.
Hiki wanachokifanya bunge kutaka kumuita Dr.Slaa Dodoma ili kumhoji ni kitendo cha hovyo. Yani bunge linataka kuprove kwamba sio la hovyo kwa kufanya mambo ya hovyo, kwa sababu limeitwa la hovyo. Akili za ngararimu 🤣🤣🤣
Maandamano ya kupinga #Mkataba wa bandari wenye dosari kati ya Tanzania na waarabu, yapo palepale siku ya jumatatu tar 19-06-2023, hatutakubali nchi yetu kuingizwa ktk mkataba ambao hauna ukomo wa muda. Hututakubali taifa letu kuingia ktk mkataba kama wa #ChiefMangungoWaMsovero.
Katibu Mkuu TEC Padre Charles Kitima akizungumzia juu ya kukosekana kwa uwakilishi halisi wa WANANCHI @bunge_tz ndiko kumesababisha MKATABA wa DP WORLD kupitishwa kizembe.Licha ya malalamiko mengi bado Serikali na Bunge walipuuza na kubeba ajenda zao bila kujali maslahi ya TAIFA.
“Ni kweli biashara ya bandarini inahitaji kuboreshwa, Lakini ni muhimu sana kutoshinikiza wananchi, wananchi wanatakiwa kusikilizwa wana maoni gani, kwa nini wanahoja tofauti ” — Padre Charles Kitima, Katibu Mkuu TEC
#ChangeTanzania
Serikali ya waongo huwa hawakumbiki kuwa uongo huishi muda mfupi sana, Waziri Mbalawa akijibu hoja ya Mh @freemanmbowetz alipohoji kwanini bandari za Zanzibar hazimo kwenye mradi wa uwekezaji wa Ubia wa Dubai na Tanganyika.....
Kwenye suala la MIKATABA inawezekana TUMEROGWA. Ndiyo maana Marehemu Rais MAGUFULI alitaka kujuwa TUMEROGWA NA NANI? Jamani UCHAWI UPO, tuchukue TAHADHARI.
Nimeshatoka Cetral Polisi, nilikwenda Ofisi ya Kanda maalumu Polisi Dsm kutoa taarifa juu ya maandamano ninayotarajia kufanya jumatatu 19 June 2023
Yanayohusu kupinga mabo mawili
Mosi ni Mkataba wa DPW na TPA na muswada wa Kuwawekea kinga TISS, na kudai #KatibaMpya Bora
Ndugu zangu watanzania amkeni huu ujinga huu unaofanywa na ccm na serkali yake tukataeni kwa nguvu ya umma ukweli ccm imekua na yenye kiburi zarau na kuwazarau wananchi
Kwa heshima na Uzalendo wa Taifa letu Tanganyika, siku ya Jumatatu 19 June 2023, Tutakua na Maandamano tutakayo yafanyia Dar es salama kwenda ikulu ya Magogoni kupinga Mkataba wa DP World na TPA pamoja na Mswada wa TISS
Maandamano haya yataitwa #BlueMondayRevolution#KatibaMpya