Tuna misiba, tunaomboleza, tunatafuta ndugu zetu, bado hatuamini kauwaje watu zaidi ya elfu 10, tunazungumza inapobidi, tunashauriana kuhusu kesho. Never been this busy for my country! Fuck that bloody killer criminal!
Walioharibiwa mali wanapewa media coverage waongelee uharibifu huo!!
Waliouliwa ndugu zao na wanaodai
miili ya ndugu zao na majeruhi wanaouguza vidonda wanakuwa silenced wasiongee wala kulalamika popote!!
Binafsi nuangana na waliopoteza mali zao, na sisupport uharibifu na uwizi wa mali za wapambanaji wenzetu, Na haipaswi kuwa hivyo!! Mungu awafanyie wepesi🤲
Lakini haswa naungana zaidi na waliopoteza ndugu zao!!
Uhai una thamani zaidi ya mali!!
Mali zinatafutwa lakini uhai ukitoka umeondoka!!!
Hawa wanaotukanwa kila siku kwasababu wanaPush Hashtag zisizo rafiki kwa Watanzania wengi wanaona ni sawa kwasababu ndio tunaocheka nao, tunaoMeet, tunakula na kunywa nao, tuko kwenye biashara zao.
Na wanajua kabisa watatukanwa na watavumilia kutukanwa na siku wakiona inatosha wataacha na watarudi kwetu wakisema “Nisameheni, yale mambo siendelei nayo tena, najua niliwakera ila nimeacha”. Na sisi kama kawaida tutawapokea vizuri tukisema“Angalau umejitambua, hayo ndio maneno, safi umefanya jambo zuri” na maneno mengine mengi. Pasipo kutambua waliyoyafanya tayari yalishasababisha damage/madhara mengi.
Ninachojaribu kusema chochote kibaya kwa sasa kinapaswa kukataliwa sio kwa maneno tuu bali hadi vitendo vihusike, kama utakataa hashtag kwa maneno ila mtu huyohuyo ni mshirika wako kwenye mambo mengine ina maana ataona ni sahihi yeye kuendelea kufanya yale yasiyo sahihi. (Mfano, ukikemea uuaji alafu marafiki zako ni wauaji ina maana na wewe unachangia wauaji wale wawe comfortable kufanya yale mauaji kwasababu hakuna repercussions, (wanaona hutowafanya chochote mwisho wa siku).
Tunapokataa hashtag zao alafu haohao ndio tunawaita marafiki, wapenzi, washkaji, dada/kaka, shangazi, Mwana, shoga yangu, Shemeji, ni kama tunawapa urahisi wa wao kufanya yale wanayoyafanya.
Tukikataa Hashtag tukatae na wanaozisambaza, na hata siku wakiona wameshajikusanyia mitonyo ya kutosha hivyo wanataka kuacha na kujirudi kundini pia muendelee kuwakataa, itakuwa ni funzo kwao na funzo kwa wale wanaofikiria kufanya yale yanayoumiza Wananchi.
Kama tutapuuzia na kuona ni ujinga au hatuwezi basi pia tusilalamikie habari za Hashtag Kandamizi. Maana malalamiko ya bure bila vitendo ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa. Mabadiliko huanza na wewe, Kesho Bora umeibeba wewe.
It just started as a single rain drop which couldn’t cause flooding.
Yes!
It was first heard as common noises the opposition were making on the ruling party’s side demanding a free and just election.
Tundu Lissu, The Chairman for CHADEMA, the main political opposition party ousted his predecessor Freeman Mbowe and on his first address to the party members was the NO REFORMS NO ELECTION slogan.
He wanted reforms on the electoral rules that disadvantages the opposition but lather advantages the ruling party. And that without these reforms, there will be no elections.
This stance earned him with a treason charge behind bars for more than six months.
While incarcerated in prison, civilians started to complain about forced disappearances, arbitrary detentions, summary executions etc
As pinch of salt, videos circulated on social medias showing how sons and daughters of our public servants squander money and living lavishly in mansions with high end luxury cars parked.
Citizens discussed these videos and concluded there must be misappropriation of public funds for personal gains.
A heated debate exploded on social media combining these factors heading to elections
At this stage, it was apparent that the general election was unpredictable and unlikely to happen as prospective majority voters chose to abstain the process.
Campaigns lost motivation. Other opposition parties were marked as ruling party peripherals and proxies to sanctify the ab initio rigged elections
Human rights defenders and activists sold the idea of protest on election day
Oct 29 2025 D Day, The Devil Day
The day was preceded by heavy rainfalls across the country. In the dawn of Oct 29, things almost looked the same.
Voting stations were deserted as people implemented the boycott campaign to elections. But everything was just very peaceful at morning hours
Mathayo 23:23-24
23 Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnalipa zaka za mnanaa na bizari na jira, lakini mmeacha mambo makuu ya sheria, yaani, adili, na rehema, na imani; hayo imewapasa kuyafanya, wala yale mengine msiyaache.
24 Viongozi vipofu, wenye kuchuja
Message from Chairman Tundu Lissu
October 26, 2025
“My brothers and sisters,
For several weeks now, I have been placed under total isolation — a state of forced loneliness. The fellow inmates who once shared my cell, all of whom had been sentenced to death, have been removed; I have been left completely alone.
My cell is now fitted with surveillance cameras (CCTV) that record everything I do — even when I relieve myself or change clothes. I no longer have any privacy whatsoever. This is not a matter of security; it is a deliberate act meant to humiliate my human dignity.
I appeal for this matter to be raised loudly and forcefully, because it is a blatant violation of human rights and an offense under the United Nations Standard Minimum Rules for the Treatment of Prisoners (the Mandela Rules), which clearly state that:
• The inherent dignity of every human being must be respected, even when imprisoned (Rule 1);
• Prolonged or indefinite solitary confinement that denies a prisoner communication with others amounts to cruelty and torture (Rules 43 and 44).
It is also a violation of the Constitution of the United Republic of Tanzania, Articles 12 and 13, which guarantee the dignity of every person and prohibit torture or degrading treatment.
I am prepared to endure any hardship for the sake of my belief in justice and the freedom of our people. But the humiliation of human dignity can never be acceptable — not for me, nor for anyone who bears the name of a human being.”
Admin
Wanaopinga MAANDAMANO ndio hao wanatakiwa kupinga UTEKAJI. Ila wamechagua kupinga MAANDAMANO na kukalia kimya UTEKAJI.
Akili kumkichwa MTANZANIA, hawa wanaopinga MAANDAMANO hawana nia njema na hili taifa. Wanaotaka MAANDAMANO ndio wanania njema na hili taifa maana wanataka HAKI.
HAKUNA AMANI KAMA HAKUNA HAKI.
#MO29
#MaandamanoOktoba29
#SiriNinamba
#OktobaTunaToka
#TupoWengi
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Kuna stages unapitia kwenye maisha ili ujifunze vitu vya muhimu sana
Usichukulie poa kila hali ya maisha unayopitia maana baada ya apo utakuja gundua maana yake nyakati zikipita
Mnakumbuka mwanzoni mwa mwaka wakati pilikapilika ndani ya Chadema zikiendelea niliwaambia TUTASHINDA na kwamba in fact tumeshashinda lila hatujajue!
Wendawazimu wakaniteka wakidhani nina kitu fulani cha kusaidia ushindi
Walikuwa hawajui nilikuwa natamka ahadi ya Mungu! Na niliamini na ninaamini!
Narudia mwaka 2025 TUTASHINDA na ukweli ni kuwa tumeshashinda! Tunachoona ni yale mapigo ya mwisho ya ROHO CHAFU inatoka kwenye mwili wa waovu
Tusiogope, tusimame na twendeni!
#OktobaTunatoka na kukomboa nchi
Polepole alitoa tuhuma kwamba mifumo ya Tume ya Uchaguzi (INEC) inasomana na NIDA. Lakini INEC ikakanusha kwamba mfumo wao hausomani na NIDA.
Leo wanasema asiye na kadi ya mpiga kura atatumia kitambulisho cha NIDA. Sasa atatumiaje NIDA kama mifumo haisomani?
Popote Ulipo POLEPOLE watanzania tunasema ASANTE na tarehe 29.10 watatuambia wamekuficha WAPI—be strong.
REPOST 500
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
📌 Bookmark this🔥
‼️As we are preparing for internet shutdown and disruptions in #Tanzania ‼️
We call on all VPN companies to help us #keepItOn by providing free VPN
We also call upon any company that the authoritarian regime will use to ensure that we receive free internet access for all
Taarifa kwa umma na mzima swichi
Tumeorodhesha VPN mkianza kuzifungia tutataarifu kampuni husika lakini pia tutapata taarifa VPN mnazotumia na tutazivamia! Mtuache! Kama mmeamua kuzima swichi poa tu 🙄 ila mtuache na VPN!
Baadhi ya internet za bure ambazo ni SECURE (nyingi za bure zinakuwa na limit ya MB ) download SASA uwe nazo
@ProtonVPN@LanternVPN@NordVPN@PsiphonInc@theTunnelBear@windscribe@privadovpn@expressvpn
Norton VPN
Orbot by Tor
Hide Me VPN
Hotshield VPN
Total VPN
1.1.1.1 by Cloudflare (WARP+)
Siku hazigandi 🔥 Bado siku 8!
Mtu ambaye hana GWagon, hana mgodi, hana hata kibanda anatoa wapi nguvu kusema eti sijui kutiki eti uchaguzi?!
Tuwe serious na nchi yetu!
Watanzania si wajinga
#Oktoba29Tunatoka#OktobaTunatoka