@ayubu_madenge Mambo mengine yanafanyika ni kwa Imani tu ukiamin hakuna jambo usiloweza kufanya . Yote utayafanya tu weka wasiwasi pembeni kisha na wewe jaribu uone utakavyofanya makubwa.๐ณ๏ธ๐ณ๏ธ
Msanii Wa Kizazi kipya @lydia_bleck Ambae Aliwahi Kushiriki Kwenye BSS Na Kufika Kwenye Final
Ameuanza Mwaka Vizuri Baada Ya Kuwa Kichwa cha Habari Kwenye media Nyingi Nchini Tanzania Kwa Video Yake Inayo Sambaa Ya Ubunifu Aliyo Utumia Kwenye Uimbaji Wake
Alichukua Nyimbo Za Injili Na Za Bongo Fleva Na Kutowa Ngoma Na Story Nzuri Kwenye Beat Moja La Injili la @chistinashusho
Video ๐
@ayubu_madenge Huyu jamaa yupo simple sana hata ukijaga maeneo ya kwake akishaka karagwe unamkuta mnapiga story vizuri sana siku anazokuwaga karagwe kwake