@Sativa255 Hizo pesa anazosema ndo hizo zinazorudi kwao tena kwa kushurutishwa kupitia matozo, makodi mengi ili wakaibe huko. Na kwa nn wanapangia mtu matumizi ya pesa zake? Zama zimebadilika na watu wameelimika.
@Eric__Bernard Itโs either you are dumb, stupid or just ignorant. Surely โA reasonable sound mind personโ hawezi linganisha financial capabilities za nchi zilizoendelea na Tz. If its the matter of comparison also compare TZ with accountability and HR violations pia.
NEW: Tanzanian president justifies police killing protesters in bizarre address to the "elders" of Dar es Salaam, claiming youth they were paid to overthrow her government.
Our latest update on CNN covers the alternate reality Samia Suluhu Hassan has created
Nakubaliana na mengi aliyoyasema ila si la nafasi ya Samia na wenzake wote waliotwaa madaraka ya nchi kinyume cha demokrasia kushiriki katika mchakato wa kuliokoa na kulileta Taifa pamoja. Wote hawa wanatakiwa kujiuzulu mara Moja.
1. Samia atueleze Watanzania na Dunia Nzima ni nani aliyetoa amri ya kuuawa kwa Watanzania waliokuwa wakidai uchaguzi huru na haki?
2. Je ni Sheria ipi katika Jamhuri ya Muungano ya Tanzania inayompa Raisi madaraka ya kuzuia raia kuandamana na kusema "hakutakuwa na nywinywi Wala nywinywinywi"?
3. Je, kauli yake hiyo si ndiyo ilikuwa amri kwa Jeshi la Polisi la kuwafyatulia raia risasi za kuua kuzuia wasiandamane?
4. Je, anaifahamu na kuielewa ibara ya 14 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania inayosema kuwa Kila mtu anayo haki ya kuishi na kupata hifadhi ya maisha yake kutoka kwa jamii kwa mujibu wa sheria?
5. Kama anaifahamu je anakumbuka kuwa ni miongoni mwa ibara alizotuapia na kutueleza kuwa atazilinda na kuzitetea mnamo tarehe 19 Machi 2021? Na Kwa Nini hakufanya hivyo mnamo na baada ya tarehe 29 Oktoba 2025?
6. Kama Raisi, wakati uchaguzi unafanyika, nani alitoa amri ya kuzimwa intaneti kwa siku tano?
7. Ni nani aliyempa mamlaka IGP Wambura kuweka zuio "curfew" kwa wakazi wa Dar es Salaam na amri hiyo kutekelezwa katika sehemu mbali mbali nchini wakati hakuna Sheria inayomruhusu kufanya hivyo?
8. Kama si yeye, alichukua hatua gani za kinidhamu na kisheria dhidi ya IGP Wambura na wote hao waliojivika madaraka wasiyo kuwa nayo kisheria?
9. Ni nani aliyetoa amri ya miili ya waliouawa kuchukuliwa na kupotezwa bila kukabidhiwa kwa ndugu zao?
10. Ni nani aliyeamuru wapendwa wetu hao kutupwa na kurundikwa kwenye na nje ya mochuari kama mizoga?
11.. Ni nani aliyezuia Taifa kuwaomboleza waliouawa kinyama na Jeshi la Polisi na vikosi vingine vya Usalama?
12. Je Samia anafahamu msemo usemao za "buck stops at the president" ikimaanisha uwajibikaji katika serikali humwangukia raisi?
13. Sasa kama anafahamu msemo huo anasubiri nini yeye na genge lake kuondoka madarakani?
Kwa wale wote wanaotaka kujifunza kuhusu biashara ya muziki na kupata uelewa zaidi juu ya Music industry ya Africa, imebaki siku moja tu mafundisho haya kuanza.
Unaweza ukajiunga kupitia https://t.co/dT36kbekc8 au tembelea page za @CIIFAfrica
Mafundisho haya ni bure kabisa.
HISTORICAL ๐คฉ
๐น๐ฟ An astonishing achievement by Tanzania girls who pick up their first #U17WWC victory after beating France ๐ฅ
A DAY TO REMEMBER ๐
#EmpoweringOurGame | @Tanfootball