Asalamu Alaikum warahmatullah. Ndugu zangu waislam, tumo ktk mwez mtukufu wa RAJAB mwezi ambao ndani yake swala 5 zilifaradhishwa kwetu kupitia Hijra ya Rasulillah.
Nasaha zangu kwako ni kuongeza juhudi ktk. Kusoma Qur-an, Kutoa swadaka Pamoja na Kufunga.
Utafutaji wetu unahitaji DUA NYINGI SAN ziwe kinga kwetu… Mabaya tunayo obewa na watu ni mengi kuliko kheri tunazo zitarajia… Kinacho kupa furaha hicho kiwe siri yako na ndo iwe siri ya furaha yako…✍️