Wako wapi? Hilo ni swali linaloendelea kusumbua familia za watu waliotoweka mazingira ya kutatanisha.
Leo dunia ikiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Waathirika wa Kutoweshwa kwa Nguvu, kumbukumbu zinarejea kwa watu 83 ambao kwa mujibu wa TLS walidaiwa kutekwa/kupotea ๐น๐ฟ 2016-2024.
Asanteni Watanzania, asubuhi hii tumetimiza milioni 42 mahitaji ya baraza kuu la wananchi ni milioni 334.. Bado tuna mda kama haujachanga tafadhali Fanya hivyo..
Tuma mchango wako kwa namba hizo hapo Kwenye tangazo, voda au NMB bank.
Kila mtu achangie kile alichonacho.