Mtu akiweka email yako kwenye hii website inaonyesha location uliyopo, locations ulizokuwepo, mitandao ya kijamii uliyotumia sometimes mpaka namba za simu😳
Wengi mmenifata dm mnataka kwenda ng’ambo kusambaza mkolofya
Fata hatua hizi
1. Kuwa na passport halali
Hakikisha una pasipoti ya kusafiria yenye muda wa kutosha (angalau miezi 6+).
2. Tengeneza CV ya kimataifa
CV iwe kwa Kiingereza, ionyeshe:
Jina na mawasiliano
Elimu
Uzoefu wa kazi
Ujuzi (mfano: ICT, uuzaji, udereva, welding, hospitality n.k.)
Vyeti ulivyonavyo
3. Chagua nchi kulingana na ujuzi wako
Nchi Kazi zinazopatikana sana
Canada Wafanyakazi wa viwandani, truck drivers, caregivers, IT
USA Hospitality, farm work, logistics, IT
South Korea Viwanda, electronics, welding, uzalishaji
4. Tumia tovuti rasmi za kazi
Canada:
Job Bank Canada (tovuti rasmi ya serikali)
USA:
Indeed USA
LinkedIn Jobs
USAJobs (kazi za serikali)
South Korea:
EPS Korea (kwa wafanyakazi wa viwandani kupitia mfumo rasmi)
WorkNet Korea
5. Jifunze lugha kidogo
Canada/USA: Kiingereza kizuri kinaongeza nafasi sana.
South Korea: Kujua msingi wa Korean (TOPIK Level 1–2) ni faida kubwa.
6.Epuka matapeli
Usilipe fedha nyingi kabla ya kupata offer letter rasmi.
Hakikisha kampuni ina website halisi.
Offer letter iwe na jina la kampuni, mshahara, aina ya kazi na visa sponsorship.
Kwa South Korea, tumia mfumo wa EPS au mawakala waliothibitishwa.
Makadirio ya gharama
Kitu Makadirio
Passport TZS 150,000–250,000
Police clearance TZS 30,000–50,000
Medical TZS 100,000–300,000
Visa Inategemea nchi
Ticket Mara nyingine hulipiwa na mwajiri
Byebye 🤝
utotoni ilikuwa raha sana kwasababu tulikuwa na vidonda miguuni na usoni tu lakini sasahivi tunapata sana vidonda katika MIOYO yetu😢 Nafsi zinaumia sana🥺🥺
Kuna Mindset moja ambayo imenigusa sana kutoka kwa Elon Musk. Anasema:
"CHUKUA MALENGO YAKO YA MIAKA 10... ALAFU JARIBU KUYAFIKIA NDANI YA MIEZI 6."
Najua itakuwa ngumu kumuelewa kwa haraka, ila njoo nikuoneshe kitu...
A Thread: