Sikuhizi financial status ya mwanaume ndio inadetermine kama mwanamke yupo single au ana mtu.
Ukiwa na vibunda na ka gari kako mara nyingi unawakuta single hatakama kana mtu.
Ila ukiwa Broke+Poverty stricken lazima kawe na mtu.
HIGHEST BIDDERS ALWAYS WIN..
@prossoff Ndoa/Mahusiano Kudumu Nyakati Hizi Ngumu Sana Wanawake Wametanguliza Pesa Mbele Sana! Hata MAHARI Za Siku Hizi Nikufuru Tupu Unatajiwa Mahari Utadhani Unauziwa Mgodi Wa Dhahabu Kumbe Unauziwa UTI Sugu
2020, nilijiona kama nimefika mwisho wa maisha.
Maisha yalinipiga, mpaka nilishindwa kulipa kodi ya 30k na kuru home.
YouTube ndio ilibadilisha maisha yangu 100%.
Nilijifunza vitu sana Kwenye hizi YouTube video.
Pitia hizi YouTube video hizi zitabadilisha maisha yako.๐
Malezi yanaweza kuwa na MCHANGO mkubwa au ATHARI kubwa katika mafanikio ya mwanao.
Muandae kuja kuwa somebody else siku za usoni.
Katika Malezi ya Bimkubwa wetu alikuwa anasema anatutengeneza kuwa WAUME/WAKE na WAZAZI BORA,
Wacha nikupe stori kidogo ya Bimkubwa ๐๐พ
FURSA 101 Africa.
1. Tekinolojia
2. Export.
3. Food processing.
4. Kilimo na Ufugaji
5. Bidhaa za ngozi na mikono (Leather industries).
6. Fursa ya Solar(kuuza umeme wa Jua) mjini na Vijijini
7. Fursa za Afya.
8. Fursa za Usafi na Mazingira.
9. Huduma za fedha kwa watu wenye kipato cha chini
10. Fursa za nguo, Mavazi na fasheni
11. Huduma za Utalii (Travel & Tours) i.e honey moon tours or student trips or local tourism
12. Fursa za takataka, kukusanya na kuzalisha bidhaa zake
14. Kuzalisha nishati mbadala i.e Mkaa
16. Fursa za Simu na Bidhaa zake
17. Kuzalisha Vinywaji mbalimbali (Beverages)
18.Huduma za Hoteli, vyakula, Catering na food truck
19. Fursa za Mazingira
20. Kuzalisha,kuuza bidhaa za mwili na nywele(Skin & Hair care products) na urembo
21. Fursa za Madini na vifaa vyake
22. Kuzalisha vyakula vya wanyama
23. Fursa za Pembejeo pamoja na kuzalisha
24. Soap & Detergents.
25. Kuzalisha toilet paper & toiletries.
26. Fursa nishati na Mafuta i.e Total
27. Usambazaji wa bidhaa jumla na Rejareja
28. Sanitary Pads kwa wanawake, watoto, wazee na wagonjwa.
29. Saluni za kike na kiume na bidhaa or huduma za nyongeza or Mobile saloon
30. Min supermarket na mifumo bunifu ya uuzaji
31. Dry Cleaning & Laundry services.
32. Kuzalisha vyakula vya watoto(Baby food & Formulas)
33. Kuzalisha na kuuza nepi za watoto(Baby nappies, diapers etc)
34. Kuanzisha brand za nguo za watoto.
35. Kutoa Huduma za watoto kama Cretches,Babysitting, Daycare & Pre school
36. Kuzalisha bidhaa na vifaa vya watoto i.e midoli,vitanda, mito etc
37. Elimu: Kuanzisha na kuendesha shule kifaida.
38. Kutoa mafunzo endelevu i.e professional trainings kama Mikono Speakers/True Maisha/GCP
39. Office and School solutions i.e Kuuza vifaa vya shule na maabara
40. Fursa za Usafiri , Usambazaji na Delivery
41. Bidhaa za Ujenzi na Accessories zake.
42. Fitness, Gym & trainings i.e weight loss
43. Fursa za bima (Insurance business)
44. Digital Marketing kama Smart Codes by Edwin Bruno.
45. Kuuza Maua i.e flower Garden
46. Fursa za Ujenzi na bidhaa zake
47. Fursa za Makazi (Low Cost housing)
48. Public relation, Communication & Marketing agency
49. Huduma za Ulinzi(Security services)
50. Relocation Services (Huduma za kuhama, uhamiaji na mengine)
51. Kutoa Huduma za Utafiti kuanzia Masoko na mengineyo
52. Events planning services.
53. Kuzalisha pakeji mbalimbali za bidhaa(Produce packaging materials and boxes)
54. Auto repair & Spare parts.
55. Kutoa huduma za kuagiza bidhaa kutoka nje (Importation & Importation services)
56. Kuanzisha vyuo chini ya NACTE OR VETA.
57. Kutoa Huduma za Mapambo na Mpangilio i.e Harusi, Nyumba or Office
58. Kutoa huduma za kutumwa or kuagizwa sehemu mbalimbali (Errand Services) i.e sokoni, kupika,
59. Kutoa huduma za wafanyakazi wa ndani na office
60. Kuzalisha bidhaa za Ujenzi i.e Rangi na vifaa vingine
61. Kuzalisha & kuuza fenicha na bidhaa zake.
62. Kutafsiri filamu kitalaam zaidi ya inavyofanywa sasa na kusambaza.
63. Usambazaji wa Bidhaa za MADE IN TANZANIA or AFRICA
64. Kusambaza bidhaa vijijini kwa bei pungufu kwa mfumo kama wa COPIA Global.
65. Kuuza bidhaa USED i.e USED Furniture, TVs, Computers etc
66. Huduma ya Kukodisha Bidhaa mbalimbali i.e Mavazi, Computer, furniture, Magari etc
67. Virtual office assistance & Secretarial services
68. Small and Medium scale Business consultation services
69. Video production and recording studio plus media
70. Call center services.
71. Direct sales agent and Telemarketing
72. Referral Services, HR and Recruitment Service
73. Interior Designing and home Dรฉcor
74. Huduma ya kuboresha na kudumisha ndoa na bidhaa zake(Bridal showers, Marriage, Sex and intimacy therapy)
75. Kuandaa makongamano na maonyesho kama Nyama Choma Festival.
76. Kutoa huduma za kitalaamu katika Kilimo na Ufugaji.
77. Kutoa huduma za kitalaamu katika Biashara i.e business plan, kodi etc
78. Kuanzisha kampuni ya minada na Gulio kwa bei punguzo vijijini(Discount Company in Village)
79. Kuanzisha kiwanda.๐
HUWEZI FUNDISHWA POPOTE ELIMU HII YA MIKOPO NA RIBA.
Nimetengeneza hii function
Kiasi cha mkopo=f(uhitaji)
Uhitaji=f(Matatizo,malengo) ๐คซ
Riba na muda havikwepeki.
Tutazame hapa kuanzia leo Mikopo haitakusumbua tena
BYE BYE MIKOPO.
Uzi ๐
Nakumbuka mwaka 2003 nyumban walileta beki tatu sasa m kipind hiko nip darasa la saba
Sas yule beki tatu kidogo alikuw mtu mzim mzima hivi sasa ikapita miez kam miwili hiv nikawa nishazoean na yule beki tatu basi yakaanz yale mazoea ya kutaniana na kushikana
Huku na kule tukawa.