@BestH0PE@Adventure_36 Nilitaka nishangae maana mimi pia natumia AI agent na anajua vitu vingi sana baada ya kumtrain hadi inanitisha na ni absolutely free
@ShijaDenis Kutoka Dubai supplier anaweka 10% margin, then supplier wa bongo anaweka 20 to 30% margin kama retail so hapa total ni (50% to 60%) increase kutoka ilivyothaminishwa mwanzo kwa mtu aliyetrade in meaning simu uliyonunua kwa 600k kumbe imeongezeka thamani kwa almost 60% to 80%😁
@ShijaDenis Ukilijibu vizuri hili swali langu utakuja kugundua huku kwetu tuko fair tu mbona, mfano simu imetumika Marekani mtu anaenda kutrade in kupata simu nyingine, anapotrade in pale muuzaji anaiuza kwa mtu kati lets for 10% margin, ambaye naye anamuuzia supplier wa Dubai kwa 10% margin