Some people be like having No car, No House, No life assurance and Less than a million in their account. But you might hear them saying “I am going to a vacation”. I always wonder what are you people celebrating at
Tujitafakari kwa msaada wa SOCRATES wa Tanzania kwa kumsoma na kumsikiliza.
ANAANDIKA ASKOFU BAGONZA
NADHANI TUNAJICHANGANYA?! Au ni Mimi Najichanganya?!
1. SAFARI YA VATICAN
Tungepatana nyumbani kwanza na wawakilishi wa Papa kabla ya kwenda kwa Papa. Tumempiga Padre wake; Tumetengeneza Wakatoliki Vijora; Tunamdhalilisha Kitima, halafu tunaenda kwa Papa. Hatari ipo ya kuambiwa, “Kama hamkumsikiliza Musa na Manabii, hamtaweza kushawishika hata mtu akifufuka”(Luka 16:31). Patana na mshtaki wako kabla ya kwenda kwa Kadhi.
2. MABEBERU:
Tumezoea kuzizodoa nchi za Ulaya kuwa ni mabeberu. Vatican iko Ulaya. Je, Hata Papa ni Beberu? Naye anataka kuchimba Uranium yetu?
3. AMANI YA NCHI
Wizara ya Mambo ya Nje inamuomba Papa aiombee nchi yetu iwe na Amani na Utulivu. Wizara ya Mambo ya Ndani inasema nchi iko salama imetulia. Hawawasiliani? Nani msemaji wa nchi?
4.MARIDHIANO
Wazee wa Chama wanataka Maridhiano. Bunge linasema nchi iko sawa. Tume iko kazini kuchunguza. Nani mkweli? Je kuna ukweli tusioujua hadi tuumulike kwa tochi ya Tume? Je tunataka maridhiano kabla ya ukweli?
5. CHADEMA na CCM
Wapo wanaosema Chadema Imekufa lakini wanaisema kila siku. Huyu ni marehemu mwenye nguvu. Makada wa CCM wanasema CCM tunatamba nayo. Ukiiangalia unaiona ni mfungwa asiye na pingu. Nani zaidi kati ya marehemu anayeishi na aliye hai lakini amekufa?
6. YALIYOTOKEA OKTOBA 29
Siku hii inatusumbua mpaka tunaenda Vatican. Bado kwenda Mecca. Kama waliokufa hawajulikani; waliowaua wanajijua. Dunia inajua makundi yote mawili. Hekima ya WAJALUO inasema, “kuchelewa kwenda kujisaidia, hakuzuii njaa kuuma”. Tukubali: Tuliua, Walikufa; tuombe radhi, tuwajibishane na kusonga mbele.
7. TUNDU LISU
Waliompiga risasi hawajapatikana lakini walioiba michango yake wamekamatwa. Yeye yuko rumande. Mahakama imeenda likizo na haki yake iko likizo. Fikiria daktari akienda kupumzika katikati ya operesheni mgonjwa?!
8. WIZARA YA MAMBO YA NJE
Hii Wizara inaonyesha tuko vitani. Kimsingi ina mawaziri 4: Kombo, Kabudi, Nyalandu na JK. Msiniulize JK ni nani maana mtamuona anatumwa katika masuala magumu nje. Waliobaki 3 na manaibu 2, wanaunda kikosi kazi cha mawaziri wa wizara. Msiniulize nani ni Boss maana Kabudi anaweza kujikuta ni Naibu Waziri. TUNAJIKANYAGA MNO.
9. Taifa likiwa katika mtifuano kama tulio nao, linakuwa kama mgonjwa. Hawezi kwenda kwa daktari akagoma kuvua nguo. Tuvue zote na madaktari watuingizie vidole kila mahali ili kubaini ugonjwa ulipo ndipo tutibiwe.
Wajaluo wakibanwa TEZI DUME husingizia wanaumwa kichwa.
Sasa Wajaluo wa TEZI JIKE hao usiseme!
These are the most iconic interviews ever done.
A thread 🧵
1. When Prince Harry ran to his helicopter during a television interview while serving in Afghanistan (2013)
Katika miaka ya karibuni tumeshuhudia utitiri wa makanisa yakiota kama uyoga barani Afrika
Wakati sehemu ya makanisa haya yalikuwepo kwa kipindi kirefu huko nyuma, mengi yao ni mapya kabisa na hayajulikani
Uzi👇
KUHANI MLAGHAI
Hawa ndio Ma CEO wa Mitandao ya Simu TANZANIA.
1. Vodacom - Philip Besiimire - Uganda
2. Airtel - Charles Kamoto - Malawi
3. Yas - Pierre Canton-Bacara - France
4. Halotel - Nguyen Tien Dung - Vietnam
Tuone Kenya 👇