@kasesco_tz@kilepi_tweve Dish ni sahani tuu ya kukinga mawimbi , inaweza kukinga mawimbi yoyote ilimradi tuu imeelekezwa uelekeo sahihi. Dekoda inaonyesha kulingana na mawimbi uliyoichagulia. Dish la azam linaweza kutumika kukinga mawimbi ya dstz bila shida ilimradi tuu dekoda ya kusoma iwe ya dstv.
1/
๐ I have a Xiaomi MiMo Token Plan with 38B tokens.
It expires in 2 days, and I probably wonโt use all of it myself, so Iโm sharing it with my followers.
You can use it in Claude Code, Hermes Agent, Kilo Code, OpenClaw, Cline, and other AI coding tools.
How to use it ๐
@Jackson21161399@AlexSamoja Kwa mtu anayejua jamii ya masai anaelewa kukamatwa kwao ni ngumu, wanavuka wanaingia kenya never come back, ndivyo walivyo - hata akikuibia huwezi mtafuta kwao ukampata, ngoja tuone serikali yetu itafanyaje
@MsigwaPeter@Mvuvi_Nyasa Chadema haihitaji uwepo wako, ulijiondoa kwa kununuliwa ukuanza kukitukana na kukiongelea vibaya chama kwa visenti kidogo na ahadi ya kurudi bungeni kwa shati la kijani. Unawezaje kurudi mahali ulipokuwa unapashushia heshima kila siku? Na ndipo palipokulea na kukuinua kisiasa?