๐ Book lover ๐ | โ๏ธ Storyteller & Writer ๐ | ๐ Enthusiastic Learner ๐ง | ๐ ๐ Believer in the Interconnectedness of All Things ๐
#Bookworm#Storytelling
@DanieliCreed@nickyrabit Kaka hii kauli kubwa kuliko watu wanavyodhani na inahusika katika kila nyanja ya maisha Position uliyopo inamchango mkubwa sana katika matokeo ya kile unachokifanya hata katika vita,
Ndio maana ukimkimbika paka atakimbia ila ukimbananisha kwenye kona atakushambulia
Located in one of Cristiano Ronaldo's favorite free kick spots, Portugal's primary free-kick taker recognized it was Nuno Mendes' moment.
Mendes didn't let him down, smashing it home.
Portugal are flying now ๐ต๐น
Ukiwa mdogo huenda usione kila alichopitia baba yako. Lakini siku moja utaelewa kuwa alibeba mizigo mingi kimya kimya ili familia yenu isimame. Hata kama nyumbani hamkuwa wakamilifu.
Happy Fatherโs Day kwa baba wote. ๐
The Little Sheep @nickyrabit jana kashusha Injili kali sana K
kuhusu uwekezaji wa HISA pale green app ๐ฅ๐
Nikasema nije nitunze hapa X kwa matumizi ya baadae and Labda hata wewe inaweza kukusaidia
Naweka summary ya baadhi ya vitu alivyogusia
Thread Shuka nayo ๐งต ๐
..
Inaanza na kutumia AI kufix bug,
Then una itumia kuundia feature
Then unaiachia ifanye full stack,
Then unaiachia code base yote,
Then mnaanza kugawana mshahara na AI,
Mwishoni AI inaajiriwa na inalipwa mshahara kama wewe.
This can all happen in a span of 3 months.
THE BEST TEAM IN THE LAND .!
Worthy Champions , 100% .!
Ni vile tu chuki na mautani yetu but wamekuwa wanapiga hodi kwa miaka kama mitatu , ishara ilikuwepo pale , it was coming na hatimaye imefika .
CONGRATULATIONS ARSENAL @Arsenal
Yule ticha wa Civics alikuwa muongo sana, anaelezea enzi hizo kitambo alienda China, kipindi Maghorofa tunayasikia lsikia tuu, kule yapo ya kumwaga, amekaa sana China ๐
Katika vipindi viwili, kimoja cha story cha pili cha kufundisha ๐