Familia nyingi za ki-Africa zinawafundisha watoto wao nidhamu ya fedha ndio maana hata 200Tsh ikipotea lazima kila mmoja wenu kwenye familia aitwe kuulizwa.
Changamoto ya wazazi wetu wa ki-Africa ni kutokutoa support kwa watoto wao ili waendelee kiuchumi. Tunaona fahari sana mtoto kuanzia sifuri. Ilihali familia ipo ngazi ya pili mbele.
Ikumbukwe ili ufanikiwe unahitaji vitu vitatu.
- nidhamu ya fedha.
- nidhamu ya namna ya ku-manage fedha.
- nidhamu ya namna ya ku-manage cashflow.
Sadly wazazi wetu wanatulea vyema kwenye mawili ya mwanzo wanasahu kutulea kwenye misingi ya namna ya kutengeneza na ku-manage cashflow.
Na hapa ndipo generational ya umasikini inapozaliwa kila baada ya kizazi na kizazi.
Wazazi watakusisitiza "usitumie fedha vibaya" lakini hawatakuonesha namna inavyopatikana.
Wazazi watakusisitiza "hakikisha chenchi unaitunza eeh!" lakini hawatakuonesha baada ya kutunza chenchi ufanye nini.
Tukubali tukatae kuna namna umasikini wetu unaanzia kwenye ngazi ya familia na background tulizotokea.
Ndio maana leo hii mzazi akifariki alivyokua akimiliki hapo kabla vinapukutika bila kujua ni wapi vimeelekea.
Kwenye hili ndugu zetu weupe especially wahindi wanaishi kimkakati sana.
Ni kawaida kumkuta kijana baada ya masomo yupo ofisini kwa baba yake anachota ujuzi fulani.
Mtoto anajifunza kwa vitendo tokea akiwa mdogo fedha inapatikanaje na sio inatunzwaje tu.
Tukubali tukatae elimu ya fedha inabidi ianzie kwenye ngazi ya familia.
...@iamNehemia ✍️
UN iliwaambia:
“Angalieni tu. Msijihusishe.”
Wanajeshi hawa wakakataa.
Na kwa sababu hiyo, watu wengi walibaki hai.
Hii ni story ya walinda amani wa Nordic Battalion huko Bosnia mwaka 1993. 🧵👇
If We remove Ballon D’or, Bukayo Saka is actually better than Lionel Messi.
I’m talking skills, technique, shot power, speed and passing ability.
Don’t get me wrong Messi is a great player, but he didn’t singlehandedly lead a club to a title in over 20 years ❤️😂
#COYG ❤️
🚨🎙️Kroupi jr. on his goal against Manchester city that won Arsenal the league title:
“That goal belongs to Arsenal’s pressure, Arsenal’s mentality, Arsenal’s season. I was just the final touch, felt like I just tapped in the final chapter of something they wrote.”
🚨🚨🎙️ Wayne Rooney on Arsenal winning the Premier League after 22 years: an emotional speech 🎤
“This team… this team… honestly, I’m actually feeling emotional for them right now. For years people called them soft, fragile, bottlers… every season it was ‘stay humble’, ‘show some mentality’, ‘build some muscle’, ‘they’re not built for the big moments’. 😭
Well… where’s Mr. Mentality now? Where’s the man telling everyone to stay humble now? Where’s the man mocking them with a bottle. I can’t see them 👀
Because Arsenal have gone and done it. After 22 years. And they didn’t do it in an easy season either, they did it in one of the toughest Premier League campaigns I can remember. The pressure, the intensity, the competition… and they still came out on top.
If right now, you are still doubting this team then you’ve been left behind, and it’s only a matter of time you will stop doubting them.
You have to give credit where it’s due. Mikel Arteta deserves enormous praise because he rebuilt this club step by step and got people believing again.
I can already see Arsenal fans becoming the loudest people on earth for the next 20 years… and honestly? Fair enough. They’ve suffered enough. Congratulations to Arsenal Football Club.” 🏆❤️